Hussein Bashe anatoa wapi jeuri aliyonayo?

Cham Bee

JF-Expert Member
Feb 10, 2015
3,516
1,854
Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.

IMG_1546.jpg

Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
 
Huyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
 
Umempigia majungu huko nje sasa umeamua kuyaleta humu. Kwa taarifa Hussein Bashe ndiye mbunge wa CCM pekee mwenye hoja za kusisimua na akiendelea hivyo 2020 ategemee kiikwaa uwaziri.
 
Back
Top Bottom