Husninyo Pokea Proposal

Hahahaaa ila wewe huna tatizo....mziki ni Kabakabana na Husninyo....
Kwanza Kaby akija hapa akakuta Husny yuko in love na Judgement lazma nayeye atamtaka Judgement na lazma atamchukua km alivyofanya kwa Uporoto hadi wakaachana na Husninyo

you are the one who started this now wait...
 
Hehehe!

Lawyer umechukuliaje suala la uporoto kumbwaga husni hazarani? Toa maoni yako!
Unajua mimi nikifanya press confrens lazima nivae suti sasa wewe unanishtukizia tu bana.
Mimi nalichukulia kwamba pasiwedi ya Uporoto iliibiwa na mtu wa cafe, unajua uporoto akilog in cafe halaf anasahau kulog out.

Nekst time unihoji kwa kiingereza. Okay?
 
i love you canta lile pochi jekundu ntakuletea kesho
 
Wakati tunasherehekea hili harusi, sio vibaya tukapata habari za hapa na pale.

Serikali ya Isiopia imejitolea kuisaidia serikali ya Tanzania wataalamu wasiopungua sita wa kilimo cha malimao - Source: Mkimbizi wa isiopia
 
Okey lawyer!...
 
kuna mtu anakutafuta.
 
Hahahaha! Malimao tena???
 
Hahahaha! Malimao tena???
Yep! baada ya mgomo wa madaktari, serikali yetu imejifunza kuwekeza zaidi kwenye dawa asili. Malimao inasemekana yanatibu mpaka gonorea, mzizimkavu atasibitisha hii
 
Hahaha! Lawyer nikipaliwa nakushtaki...lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…