Husninyo Pokea Proposal

...mmeniacha..duh!
nililala kutunza nguvu za party jioni...naomba kujua majukum ya hawa watu ktk sherehe ya Baba na Mama Jg!
Ericky
Mtei one
Amyner
shem SL
Kongs
na x-husby UP
ubwabwa unalikaje na wap na sangap?
Erick ni Mwenyekiti wa Kamati na
Amyner Ni Mweka Hazina wa Kamati
wengine
SweetLady Kamati ya Mapambo...
Kongosho Kamati ya Vinywaji
Mtei ULINZI NA USALAMA
Uporoto
Kamati ya MAOMBOLEZO
 
Pole sana Shem wangu wa Ukweli....
Usijali Mungu atamsaidia atapona tu
 
Ya uporoto yashapita.
Hata mimi naona yashapita Husninyo na nimekubali rasmi kuwa JUDGEMENT ni shemeji yangu
na huwezi amini nakubali vibaya sana duh Jamaaa yuko vizuri sana hakuna mfano Lol sijui nisemeje
 
Erick ni Mwenyekiti wa Kamati na
Amyner Ni Mweka Hazina wa Kamati
wengine
SweetLady Kamati ya Mapambo...
Kongosho Kamati ya Vinywaji
Mtei ULINZI NA USALAMA
Uporoto
Kamati ya MAOMBOLEZO
Na umwambie mtei aje na zile nguo zake za mgambo ukumbini...
 
Erick ni Mwenyekiti wa Kamati na
Amyner Ni Mweka Hazina wa Kamati
wengine
SweetLady Kamati ya Mapambo...
Kongosho Kamati ya Vinywaji
Mtei ULINZI NA USALAMA
Uporoto
Kamati ya MAOMBOLEZO

kunani hapo had uandke tofaut na wengne?
 
Yah kiukweli SweetLady huwezi amini imeniuma sana eti utadhani namjua mh
We acha tu Erick naomba mungu amponye, afu nna kama mwezi sijaonana nae(tunaongea tu kwa simu) manake mie nilihama tulipokuwa tunaishi majirani, nikamwahidi kuwa ntaenda kumchukua aje apajue nilipohamia, sikwenda kumchukua,
 
Acheni kumchafua Husninyo bana......

Wamchafue watakavyomchafua ni 9 tu !
10 ngoma ndiyo nishaweka gambani, na sitoi pasi hata moko ! Nimekokota mwenyewe hadi golini nikamdash nyanda kama napiga left , nyanda kalala mazima kushoto, cha mbegu nacheka na nyaya za kulia.
Kuanzia leo stress tupa kule ! Nakula kitu hin'haa !
Kitu mang'anyu !
Kitu nadhifu !
Kitu specific !
Kitu kitu kitu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…