sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,460
Khaaa, ulikuwa wapi? Mie na wifi angu Canta tunacheza ngoma peke yetu toka asubuhi, haya kavae dera na wewe ukuje hapa!Judgement na husny hongereni saaana! Katika mipango ya harusi msinisahau kwenye kamati!