Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

hata hvyo ulvyovaa wakat 2ko wote pia ni poa. Au ndo wataka uonekane kvngne?

Mtei izo riaza unazotaka kuanzisha zitakucost!...naomba umuache Amy maana kuna mambo mm na yy tunapanga kwa sasa.
 
Mtei utawapenda wangapi ? Mbona wameshafika wa kutosha Hiace ?
Utaoa Hiace ?

Nilishasema kuwa simpend Husny ila kuna kamkataba kat yangu na yeye hakajaisha ndo maana naweka pngamizi mpaka anihakikishie jnc 2takavyokamaliza
 
@ Mtei one, Erickb52 & BAGAH,.. Hebu tokeni mkagombanie huko nje manake hapa mtatuharibia shughuli.

@ Amyner simu ilizima charge mpendwa nipigie kwa sasa nipo hewani.
 
@ Mtei one, Erickb52 & BAGAH,.. Hebu tokeni mkagombanie huko nje manake hapa mtatuharibia shughuli.

@ Amyner simu ilizima charge mpendwa nipigie kwa sasa nipo hewani.

SL mi cgombani na m2 hapa. Hata Amyner ni shuhuda.
 
@ Mtei one, Erickb52 & BAGAH,.. Hebu tokeni mkagombanie huko nje manake hapa mtatuharibia shughuli.

@ Amyner simu ilizima charge mpendwa nipigie kwa sasa nipo hewani.

shem unajua kabisa mm na Amy tunamipango mikakati...baada ya kakaangu Ricky zoezi kumshinda...sasa gafla kitu Mtei moja kimechipuka kama uyoga...!
 
Amyner ! Wala usiwe nashaka utakuwepo kamatini ,
lakini kabla sijasahau Hina nzuri tuagizie wapi?

kidume unajituma...kweli mke wakuiba noma!..kama vile huamini amini...kaka hadi hina unaulizia mwenyewe?
 
Huu uzi una matairi?
Unakimbia sana bana.

Mshanitingisha, kuna watu hapa wamepiga desh mchana.
 
Back
Top Bottom