Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Bora wifi angu unisaidie kumwambia manake kazidi, anapenda kweli kumsimanga husband, atasababisha mwenzie ajing'ate wakati yupo ibadani khaaa, atasutwa kweli jamani...
Yan kashapalia utafikiri ndio afisa habari wa ndoa yenu lol!amuache shem wangu asali kwa aman lol!akiendelea nitamkia na mavuvuzela tumsute lol!