Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Canta umesahau cover ya cmu yako
room kwangu. Mi natoka sa hv
naelekea site, ntaiacha pale dukani
kwa Mangi unapochukuaga funguo.

Watu kwa kujitafutia matatizo...!! Ngoja nisepe sitaki kuwa shahidi....tehe tehe!!
 
Umekuja na wazo zuri sana, tena mlezi wa chama utakuwa wewe!

Katavi
Erick 52
Mtei
Nilikua nimewafikiria niwapange kwenye orodha ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi , lakini nimewastukia mnaweza kuniMwakyembe. Kwa maana hiyo sitowapanga tena.
 
Tena ushindwe namkulegea maeneo yako ya kati lol!niko kwj fundi papa rejao mutu ya pesa mingi na mapnz ya milele nimetoshelezwa sihitaji smal houc!nataman asome andiko lako hapo akutie displin ebo!
Swit...njoo tuendelee kupeana mapenzi moto moto...
waache hao wabaki wakipiga kelele
 
Katavi
Erick 52
Mtei
Nilikua nimewafikiria niwapange kwenye orodha ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi , lakini nimewastukia mnaweza kuniMwakyembe. Kwa maana hiyo sitowapanga tena.

Harusi gan? Unajua Uporoto amepanga ki2 gani?
 
Katavi
Erick 52
Mtei
Nilikua nimewafikiria niwapange kwenye orodha ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi , lakini nimewastukia mnaweza kuniMwakyembe. Kwa maana hiyo sitowapanga tena.

Mimi nipange tu kwenye hiyo kamati, nimejitoa kwenye kundi la hao wahuni!
 
Katavi
Erick 52
Mtei
Nilikua nimewafikiria niwapange kwenye orodha ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi , lakini nimewastukia mnaweza kuniMwakyembe. Kwa maana hiyo sitowapanga tena.

Ngoja kwanza...
Km tukisawazisha mambo tukawa timu moja nitakuwa msimamizi na Amy
 
Nipo mezani tayari ma dia,,,,nasubiria kitumbua changu!!
Naona erick ananitamania sana!

orait darling,tafuna baba tafuna ushibe lol!mpe pole eric mwambie arudi akajilie kwa Amy wake lol!
 
Canta umesahau cover ya cmu yako room kwangu. Mi natoka sa hv naelekea site, ntaiacha pale dukani kwa Mangi unapochukuaga funguo.

Hehehe!dua ya kuku halimpati mwewe tuko bankok huku wapi na wapi na tz dukan kwa mangi lol!kweli hasidi hana sababu lol!
 
Swit...njoo tuendelee kupeana mapenzi moto moto...
waache hao wabaki wakipiga kelele

Amyyy.......Amyyyy...
Where are u bby......
Njoo bby wangu hawa jamaa wananitesa tu
 
Ngoja nitaongea na wife akikubali ntakuwa mlezi wenu ila ntajenga uadui mkubwa sana na JG....hatanielewa

Mbona kwenye Uzi huu ushabwabwaja mengi ya Kiadui ?
Mara umwambie my elected/Wife to be kua Judgemen mlevi , wakati mie na Ulabu ni kama CCM na CHADEMA .
But mie nakupenda sana ! Tena sana , semea tu nimekuengua kwenye kamati ya Harusi .
Hapo kabla nilipenda sana uwepo , hata hivyo kadi ya mualiko siku ya mnuso utapata.
Ila Mtei hapati card .
 
Jaman my wii wala cjamkataza kuwasalimia,sema tu ubize na hane muni,salama my swty wii?
Aah, bora umemjibia wifi manake daaah, toka aoe haji tena home, simu hapigi , wazee wanajiuliza kulikoni?

Hope mmemalza h'moon salama salimini... Wifi karibuni nyumbani kesho mda wa lunch...

Mi penda wewe sana wifi.
 
Back
Top Bottom