Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Teh ngoja mumeo mtarajiwa aje akupe news
unaham ya ban?
Teh ngoja mumeo mtarajiwa aje akupe news
@ Erick & Mtei one nipeni japo kwa ufupi shughuli imefikia wapi, nachoka kusoma!
Sherehe siyo yenu mmeishonea suti na kukimbiza sredi namna hii. Yatawasìnda.
Kaondoka na nitonye, kwani umemuona nitty leo?Hivi SL Amy wangu yuko wapi maana naanza kupatwa na wasiwasi
Kipele hana coz asbh nimemkunaaaaa siunajua mi mzee wa shughuli...hehehe!kwa raha zetu babu,ace na mwana aeleke jiwe!ina huu!mfate Amy labda nae ana kipele cha kuwasha umkune lol!
hakuna haruc hapa
Uporoto mzigo ulimshinda kuuhudumia , vizuri/vitamu/starehe , mwenzake gharama.
Kaondoka na nitonye, kwani umemuona nitty leo?
hakuna haruc hapa
Hehehe, husninyo akijinyonga nakufuata mpaka kwenu.. Ole wako.
ama kweli mwanga si lazma apae na ungo.
Sijamuona...ila Amy asubuhi tulikuwa nae then tulipoachana nae hadi sasa hajaonekana
..nimesoma kwa tabu sana haya maandishi..
Hakuna harusi mpaka Uporoto akom fem kuwa we c mke wake
Mbona proposal limechakachuliwa hivi!! Naomba summary.
keshazoea. Hawez kujinyonga
Oooh ! Mpenzi waache wachakachue , mi nafikiri tutoke tupumzike , tukitafakari kuzinduana ! Ungependa tuzinduane lini ? Uwanja wako Mammiy , hapahitajiki Pm hapa , mambo hadhara wasikie vizuri , hasa wale wakodoamijichijo.
mbona unamtetea sana? Hujaona alivyonibwaga live bila chenga. JG kaniambia uporoto kamwaga ugali mi nimwage dagaa. Kwa raha zetu.
Mwaaaaaaa to You switie wifi,...nawasubiri kwa hamu sana...
Shemejio mzima wa afya, bado yupo kanisani ndio mana hajakuja kwenye hii shughuli.... Mie leo nimesali misa ya kwanza wifi...
Mie wishing you and my bro Rejao all the best....
Hehehe! Jipe moyo kijana. Ulikuwa nae ndotoni au?Sijamuona...ila Amy asubuhi tulikuwa nae then tulipoachana nae hadi sasa hajaonekana