Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Mbona kwenye Uzi huu ushabwabwaja mengi ya Kiadui ?
Mara umwambie my elected/Wife to be kua Judgemen mlevi , wakati mie na Ulabu ni kama CCM na CHADEMA .
But mie nakupenda sana ! Tena sana , semea tu nimekuengua kwenye kamati ya Harusi .
Hapo kabla nilipenda sana uwepo , hata hivyo kadi ya mualiko siku ya mnuso utapata.
Ila Mtei hapati card .
Duh mpende adui yako....
Ila poa tu ngoja shemeji yako aje aongee na wewe lazma ubadili msimamo na tuwe wasimamizi
 
cata hawezi nizuia kabisa....ndio maana namuona muda wote yupo nanyi wifi zake!
Tunamalizia hani mun then tunaenda kwa Rafaeli!!
Hehehe, karibuni sana kaka yani tunawasubiri kwa hamu kweli... Kama ni mke kaka umepata manake ana upendo sana, si kwako tu hata kwa sisi wifi zake lol... Tunampenda sana.
 
@ Erick & Mtei one nipeni japo kwa ufupi shughuli imefikia wapi, nachoka kusoma!

Sherehe siyo yenu mmeishonea suti na kukimbiza sredi namna hii. Yatawasìnda.
 
Aah, bora umemjibia wifi manake daaah, toka aoe haji tena home, simu hapigi , wazee wanajiuliza kulikoni?

Hope mmemalza h'moon salama salimini... Wifi karibuni nyumbani kesho mda wa lunch...

Mi penda wewe sana wifi.

Thx my lovely wii,nitakua namkumbusha japo kupiga cm,ilikua tumalize mwisho wa mwezi but kaka ako kaongeza miezi 2,tumenogewaje!tukirudi tu kituo cha kwanza kwako wifi yangu,vp nitonye shem wangu hajambo?
 
Hehehe, karibuni sana kaka yani tunawasubiri kwa hamu kweli... Kama ni mke kaka umepata manake ana upendo sana, si kwako tu hata kwa sisi wifi zake lol... Tunampenda sana.
Dah
Ninachompendea Canta sio Majungu maker....
 
@ Erick & Mtei one nipeni japo kwa ufupi shughuli imefikia wapi, nachoka kusoma!

Sherehe siyo yenu mmeishonea suti na kukimbiza sredi namna hii. Yatawasìnda.
Sherehe haiwezi kufana bila uwepo wangu...
Nasikitika JG kanitosa kwenye kamati ya maandalizi...
Lol ana visa sana
 
Mbona proposal limechakachuliwa hivi!! Naomba summary.
 
Thx my lovely wii,nitakua namkumbusha japo kupiga cm,ilikua tumalize mwisho wa mwezi but kaka ako kaongeza miezi 2,tumenogewaje!tukirudi tu kituo cha kwanza kwako wifi yangu,vp nitonye shem wangu hajambo?
Mwaaaaaaa to You switie wifi,...nawasubiri kwa hamu sana...

Shemejio mzima wa afya, bado yupo kanisani ndio mana hajakuja kwenye hii shughuli.... Mie leo nimesali misa ya kwanza wifi...

Mie wishing you and my bro Rejao all the best....
 
Back
Top Bottom