Husein Yahaya: Hakuna uchaguzi mwaka huu!

Hao wanasiasa wanampinga Sheikh Yahaya lakini kila kukicha wanapishana vikumbo Kwenda Bagamoyo kutengenezwa,
 
Hao wanasiasa wanampinga Sheikh Yahaya lakini kila kukicha wanapishana vikumbo Kwenda Bagamoyo kutengenezwa,

Akiwatabiri vibaya ndio wanakuja juu! Hebu fikiria utabiri wa Sheikh Yahya ungekuwa kwamba CCM itaangushwa 2010, pangekalika kweli?
 
Kwani huyu Yakhya kapona vizuri??. si aliwahi kulipotiwa mahututi? akili yake may be bado crazy kama si uzee!.
 
na Betty Kangonga na Irene Mark

Tanzania haiwezi kuongozwa kwa ramli.

Source: Tanzania Daima.

absolutely NOT and he is not welcome in politics huo utabiri wake aende akafanyie huko Mombasa na Nairobi kwa wapuuzi wanamsikiliza. Kwanza nani kamruhusu huyu Mzee kusema sema tu! Nani anakulipa? manake umesema hutabiri bure!

Please LEAVE US ALONE! NCHI HII INAENDESHWA KWA SHERIA NA KATIBA SIO BLABLAAA ZAKO HIZO
 
Yahya Hussein ni mtu wa serikali (mwajiliwa wa Usalama wa taifa), kwa maana hiyo kila analo lisema limepangwa makusudi kabisa na watu wa usalama, kutibuwa akili za watu.
 
Yahya Hussein ni mtu wa serikali (mwajiliwa wa Usalama wa taifa), kwa maana hiyo kila analo lisema limepangwa makusudi kabisa na watu wa usalama, kutibuwa akili za watu.
Du, aliajiliwa lini? au anakiherehere cha kujipendekeza kwa wateja wake?
 
Yahya Hussein ni mwajiliwa wa usalama wa taifa... enzi ya nyerere kituo chake kikuu kilikuwa Nairobi Kenya. Pia aliwahi kupelekwa Botswana...!
 
Yahya Hussein ni mwajiliwa wa usalama wa taifa... enzi ya nyerere kituo chake kikuu kilikuwa Nairobi Kenya. Pia aliwahi kupelekwa Botswana...!
Ukikokotoa kwa kujumlisha, yaani kazi yake hii na utabiri wake wa awali uliozua mjadala mzito, utapata jibu la kutisha kuhusu kazi ya UWT.
 
Hivi hiki kizee kichawi kinavituma vijini vyake kuwakusanya waandishi wa habari kwenda kuusikiliza huu uchuro ama vipi. Yaani sipati picha ya mwandishi na akili zake timamu anaaga watoto wake na mkewe au anaaga ofisini kwa bosi wake kuwa anawahi "press conference" ya hiki kichawi. Halafu akitoka huko anarudi kwa wanawe na mkewe na kuwaeleza alikuwa kazini na kazi yenyewe ndiyo hiyo. Strike me pink, Bongo bwana !! Duh, Bongo ina mambo !!
 
Yahya Hussein ni mtu wa serikali (mwajiliwa wa Usalama wa taifa), kwa maana hiyo kila analo lisema limepangwa makusudi kabisa na watu wa usalama, kutibuwa akili za watu.
Dont make me laugh X-PASTER Are simply saying because that is what you have heard? Tupe ushahidi wa hicho unachotaka kukisema! Huo usalama wa Taifa wa wapiga ramli uko Tanzania tu!
 
Mimi nina tatizo moja tu, Mtabiri huyu nadhani anavuka mipaka sasa. Ni maoni yangu kuwa si vyema kuanza kuingiza masuala ya siasa katika utabiri wake. Huko nyuma amekuwa akitabiri mvua na nyota za mtu mmoja mmoja. Ni vyema akaendelea hivyo. Hili la kutairi masuala ya siasa ambayo yanaweza kuwa na muingiliano na masuala ya usalama ni hatari kwa taifa letu. Anapaswa kuonywa....atafute njia nyingine za kujitafutia umaarufu
 
Unajua Taifa letu linaugua ugonjwa hatari kuliko ukimwi?Hivi hawa watu wanaompa audince na coverage kubwa kiasi hicho wanafikiria nini?

Huyu mzee kwanza inawezekana ni memba wa hapa JF ingwa sasa nyenzo kama kompyuta inaweza kuwa ngumu kwa matumizi lakini inawezekana utabiri wake anauchota hapa JF

Halafu waandishi wa habari,viongozi nk wanampa uzito wa hali ya juu halafu kesho albino wakianza kuuwa tunaanza kutoa hotuba,machozi bungeni katika kulaani mauaji ya albino ilihali utabiri wa kishirikina kutuhusu tunaubariki na kuutumikia.Viongozi wetu wanastahili jina moja "wanafiki".wao ni sehemu ya janga la ushirikina na hata mauaji ya ndugu zetu albino ikiwa wanakubaliana na utabiri huu
 
Dont make me laugh X-PASTER Are simply saying because that is what you have heard? Tupe ushahidi wa hicho unachotaka kukisema! Huo usalama wa Taifa wa wapiga ramli uko Tanzania tu!
Kipi ninachokitaka kukisema? Sijakuelewa
 
Historia huwa inajirudia. Huyu ndio Grigori Rasputin wetu ingawa uhusiano wake na utawala bado haujakaa wazi
 
mzushi sana kasema uchaguzi hakuna then anasema bunge jipya la 2010 litakuwa na wanawake wengi, pia anasema atempinga JK atakufa sasa hao wanawake watapatikana vipi kama uchaguzi hakuna,vipi ataempinga JK atakufa kama uchaguzi hakuna. Mafisadi wamemnunua yeye na ramli zake, kumuamini pia ni UFISADI!!!!!!!
 
- Huyu mzee sio mjinga anajua kwamba wananchi wengi wa hili taifa na viongozi wengi wanapenda sana uchawi, infact kuna dataz kwamba chanzo cha safari safari za viongozi wengi wa sasa ni ushauri kutoka wa wachawi kwamba wasikae mahali pamoja kwa muda mrefu nyota itafifia, vipi jamani inaonekana wengine mmeondoka home longtime mmesaahau jadi na mila zetu!

- Anasema hakuna uchaguzi kwa sababu anajua CCM itashinda kwa kishindo, sasa si sawa tu na kusema hakuna uchaguzi, au?

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom