Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Naelewa no award ila kuna kushare upendoKosa la kwanza na la kujirudia ni [emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Achana nao
Fanya kazi wasikutishe na wingi wao, ishi nao Kwa akili halafu hapo ni kazini sio Sehem ya kuwania Award ya kufurahisha watu.
Unalea sana ujinga we mzee
Sijawai kwenda kwa mganga ila nachojua ni uchapakaz na ushap kwenye kazi kazi inaweza kuisha kabla ya muda ulio pangwa na kwa ubora wa juuAu mkuu unatumia ka mtishamba nini mbona safari zote upewe wewe tu?
u
nishafanya kazi mahali ya uwakala japo sio ajira rasmi . Niliona kila rangi yaani za watu. Nilikoma .Kosa la kwanza na la kujirudia ni [emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Achana nao
Fanya kazi wasikutishe na wingi wao, ishi nao Kwa akili halafu hapo ni kazini sio Sehem ya kuwania Award ya kufurahisha watu.
Unalea sana ujinga we mzee
🤣🤣🤣 hao ni machawa ofisin sio kila mtu wakuongea nae kuhusu mambo ya ofisi mimi naogpa kuongea mamb ya ofis kwenye group yaani ofisini anaweza kuwazisha mada mtu mmoja ukadakia nyumba bovu likakudondokea ogopa sanaLabda nipo nje kidogo ya mada, lakini nimejisikia kuzungumzia pia hii tabia nyingine ya watu, umekaa nao mnazungumza kumbe wana record audio kwa Siri alafu badae wanasambaza.
Hii pia Ni tabia ya kishenzi tu
unakuta yuko vizuri katika ishu husika.Au mkuu unatumia ka mtishamba nini mbona safari zote upewe wewe tu?
u
Wapi nimesema nalogwa?Kwaiyo we umejuaje kama unasogwa? Acha iman za kishirikina
Pole mkuu huko makazini ni kero sananishafanya kazi mahali ya uwakala japo sio ajira rasmi . Niliona kila rangi yaani za watu. Nilikoma .
. Hapa kwanza umewashutumu kisha ukasema wewe haujui kuroga kama wao. Vipi unamaana gan apa kama si kuwashumu kua wanakuroga ila mungu2 anakusaidiaKazini husada nyingi watu mtatua bure kisa wivu ni Mungu tu ndio anatupigania wengine hatujui kuroga kama ninyi ila Mungu tu ndio katuonea huruma
Kias chakeWewe ni mgeni kazini?
Ndio watu wanaroga nishakuta ilizi kwenye droo ya mtu. Hapa kwanza umewashutumu kisha ukasema wewe haujui kuroga kama wao. Vipi unamaana gan apa kama si kuwashumu kua wanakuroga ila mungu2 anakusaidia
Hayo mambo ni kawaida sana ,ukiwa na kazi hizo ni changamoto.Kias chake
kama ikatokea nikiingia kwenye ajira rasmi nitakuwa carefully ase maana dah watu sio.Pole mkuu huko makazini ni kero sana
Kwanini Mungu akupiganie upate safari peke yako? Unadhani wengine hawana Mungu,ninyi ndio mnaharibu ofisi kwa nepotism za kijinga na maboss wenu,wafanyakazi wenzio wako sawa kukumind ,gawaneni huo mkateHe'll
Kazini husada nyingi watu mtatua bure kisa wivu ni Mungu tu ndio anatupigania wengine hatujui kuroga kama ninyi ila Mungu tu ndio katuonea huruma
Kwanini nimesema hivi nnapo fanya kazi kuna vitengo vingi lakini kwenye iki kitengo mara nyingi ikitokea safari ya mkoan yaani kutoka nje ya mkoa basi mkuu wa idara analeta jina langu
Kitu kinachopeleka watu kunichukia mimi bila kujua nikitoka zangu safari nimerudi na sina roho ya uchoyo nawapa ofa ya lunch wote kwenye kitengo chetu ili nao wafurahi kidogo kumbe nyuma ya panzia uko wanaona wivu na kunisagia kunguni bila mimi kujua
Sababu ni safari hawajui tu jinsi gani Mungu anavyo tupigania na huruma yake tu ila kivile hamjui mnajaza chuki si vyema tutauana buree