Husband material...

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,767
19,301
13419009_1536747949672951_8708214431813350647_n.png
 
Hahahah mapenzi ya dhati kusaidiana

1. Chakula bado kipo hali ya uji uji, huwezi kutumia nguvu mikono miwili kukoroga.

2. Moto ni mdogo sana (nishati joto ni ndogo kama vile moto hauwaki) huwezi kuivisha chakula kwa moto huo.

3. sufuria siyo yenyewe na material yake ipo km ndoo ya kubebea maji..ikipata moto mkali inaungua hata ukija kuiosha kwa sabuni haifutiki ule weusi wake.

4. Ukaaji sio wa upishi,Ukifikia hatua ya kupika kwa nguvu ya mikono miwili ilibidi awe na banio ili aidhibiti sufuria isijekumwagika.

5. Avaaji wa miwani kwenye jiko hilo la chini, mvuke wa moto na nguvu anayoitumia hapo, anaweza kupata hasara..labda kwenye majiko ya kisasa ya wazungu
 
Labda kachelewa kurudi nyumbani adhabu yake inabidi asonge ugali, si unaona mama alivyokasirika kule nyuma.
 
Wewe bado unakumbukumbu za Deo wewe..... Kasie

Hhahahahahahaaa usinichekeshe mie laaah..... acha tuu nimefurahi umenikumbusha raha bin utamu

Msalimie Chikundeeeeee

Ever Smiling Kasie.
 
Limbwata tayari limeanza kufanya kazi...inawezekana huyo shangazi alizidisha vipimo vya limbwata


Nimesahau sijui ni mkoa gani. Niliona habari kuwa wanawake wameonywa, atakayempiga Limbwata mumewe atapigwa faini. You gotta love Tanzania.
 
Back
Top Bottom