Husband daycare inazidi kupanua matawi yake

Husband daycare inazidi kupanua matawi yake

teh..teh...teh... tutaelewana tu! kweli nguo zetu zilizotubana tusizitupe wala kugawa!
 
Hahahaaa...! Dunia haitoisha vituko..

Yaani hapo naenda kufungiwa au inakuwaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cc Sakayo
the...teh..teh..hapa lazima kutakuwa kutumia pot kujisaidia na muda wa kulala mchana
 
Hahahaha,, mambo mengi mda mchache ipo wapi iyo tujongee mke wangu amesafir
 
kila uchwao mambo mapya dah kweli mambo mengi muda hautoshi ku deal nayo yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom