Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,210
- 829,203
hapo naiona m3 laki 2 na buku 5
uko vizuri babu
Kudadandunyi,Mshana utaenda kupimwa makojoo,nyara ya sirikali unaanika hadharani ovyo.Ngoja waje waseme una takatisha pesa.
umeionja mtani ? nakuja basi leo tuonje wote
Sawa mtani... Ila usahau kuvaa mtoto wa buktaumeionja mtani ? nakuja basi leo tuonje wote
usijali mtani leo ni siku yako. vyote vyako
Mshana naomba elf kumi..
Hureeeusijali mtani leo ni siku yako. vyote vyako
pokea K3 M-PESA fasta siyo mchagga ila sabuni ya roho naipenda dearlyWe utakuwa mchaggaa bila shaka.
asante mtani hii ya mafuta yote