Kuna waliotaka jana nipigwe BAN ya maisha mods wakaipotezea, wengine wakaniponda na maneno mabaya wakadhani nitaogopa nipotee humu, kudadadeki hatishwi mtu nyau hapa, weraaaaaaaaaa!!
Halafu leo cjui nitoke vp humu?
Hakyamungu we wa kusamehewa tu.
Dah mwanaume una mdomo balaa

patia picha dada zake sasa! Full misuto!
ilikuwaje mkuu?? tiririkaKuna waliotaka jana nipigwe BAN ya maisha mods wakaipotezea, wengine wakaniponda na maneno mabaya wakadhani nitaogopa nipotee humu, kudadadeki hatishwi mtu nyau hapa, weraaaaaaaaaa!!
Halafu leo cjui nitoke vp humu?
utoke vipi? katokee chooni
ila dada kuna watu humu wanajifanya wamiliki wa jf
makubwa hayokamuanzishia mwenzie thread ya kashfa kuachwa kwake eti anajisifu
Hakyamungu we wa kusamehewa tu.
Dah mwanaume una mdomo balaa
utoke vipi? katokee chooni