SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
unapenda kutongzwa? Pole ndugu yangu, wanawake huwa hawatongozi, labda........................
mimi sipedi watu:blah::blah:
unataka mteremko..sio rahisi kiivyo..afu umejuaje kama unawavutia labda unawaboaSipendi wanawake ninaowavutia halafu hawanitongozi
Mi sipendi kupanga nyumba moja na mtu asiye flash akitoka chooni,sipendi masharobaro wanao vaa milegezo ili charter la boxer aliyovaa lionekane,sipendi mademu wanaoweka nywele artificial halafu wanajifanya wanatikisa kichwa zisiwazibe macho kama wazungu vile!
Siipendi jf inanipotezea muda mwingi sana, ila nimeshakuwa addicted nina kazi sana