Kama hupendi Uswahili usinunue Mbagala Chamazi utakuja kulia

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Kama hupendi uswahili usinunue kiwanja,mbagala,chamazi mmbande na baadhi ya sehemu za Temeke.

Kama hupendi mambo ya uchawi na unaogopa kulogwa logwa wanga,kutupiana majini wivu nk usinunue huko maana huko yamezidi uchawi upo kila mahali ila huko pamezidi huko ujiandae

Kama hupendi fujo za usafiri, misongamano,makelele, fujo,vibaka na uhuni basi usinunue huko

Huko pamejaa watu wa hadhi ya chini, watu wasioijua shule, waswahili haswa, washirikina, wapenda makelele foleni za kugombania daladala

Huko hata ukiwa na usafiri jiandae kuchukiwa na kulogwa kwa kila hali

Kuna watu wanapitia kila siku drama mpya kwasababu ya kupenda vitonga vya kununua viwanja cha bei chee

Sehemu zenyewe nyumba zinajengwa hovyo hovyo bila mpangilio bora mtu ukikosa kabisa ukanunue kibaha kuliko huko
 
Ngoja waje wanaoishi maeneo hayo watakujibu.

Sent from my moto g stylus 5G using JamiiForums mobile app
 
Wewe utaendelea kuwa mshamba Tu hapa DAR hiyo mitaa ambayo unasifia ya kinondoni Mimi nimesoma Huko na kukulia Huko naijua ndani-nje.
Karne hii bado unasifia mitaa ya DAR? Watu wa upinde mpo wengi Sana huku ndani
 
Kama hupendi uswahili usinunue kiwanja,mbagala,chamazi mmbande na baadhi ya sehemu za Temeke.

Kama hupendi mambo ya uchawi na unaogopa kulogwa logwa wanga,kutupiana majini wivu nk usinunue huko maana huko yamezidi uchawi upo kila mahali ila huko pamezidi huko ujiandae

Kama hupendi fujo za usafiri, misongamano,makelele, fujo,vibaka na uhuni basi usinunue huko

Huko pamejaa watu wa hadhi ya chini, watu wasioijua shule, waswahili haswa, washirikina, wapenda makelele foleni za kugombania daladala

Huko hata ukiwa na usafiri jiandae kuchukiwa na kulogwa kwa kila hali

Kuna watu wanapitia kila siku drama mpya kwasababu ya kupenda vitonga vya kununua viwanja cha bei chee

Sehemu zenyewe nyumba zinajengwa hovyo hovyo bila mpangilio bora mtu ukikosa kabisa ukanunue kibaha kuliko huko

Andiko lako imabidi ligawanye Mbagala, maana kuna maeneo Mbagala bei zake sio rahisi.
 
Kama hupendi uswahili usinunue kiwanja,mbagala,chamazi mmbande na baadhi ya sehemu za Temeke.

Kama hupendi mambo ya uchawi na unaogopa kulogwa logwa wanga,kutupiana majini wivu nk usinunue huko maana huko yamezidi uchawi upo kila mahali ila huko pamezidi huko ujiandae

Kama hupendi fujo za usafiri, misongamano,makelele, fujo,vibaka na uhuni basi usinunue huko

Huko pamejaa watu wa hadhi ya chini, watu wasioijua shule, waswahili haswa, washirikina, wapenda makelele foleni za kugombania daladala

Huko hata ukiwa na usafiri jiandae kuchukiwa na kulogwa kwa kila hali

Kuna watu wanapitia kila siku drama mpya kwasababu ya kupenda vitonga vya kununua viwanja cha bei chee

Sehemu zenyewe nyumba zinajengwa hovyo hovyo bila mpangilio bora mtu ukikosa kabisa ukanunue kibaha kuliko huko
DAR hii ushuani ni upande wa pili wa kawawa road osterbsy. Mikocheni, masaki, mbezi beach na upanga Kwa mbaali, kwingine kote hovyo.
 
Kama hupendi uswahili usinunue kiwanja,mbagala,chamazi mmbande na baadhi ya sehemu za Temeke.

Kama hupendi mambo ya uchawi na unaogopa kulogwa logwa wanga,kutupiana majini wivu nk usinunue huko maana huko yamezidi uchawi upo kila mahali ila huko pamezidi huko ujiandae

Kama hupendi fujo za usafiri, misongamano,makelele, fujo,vibaka na uhuni basi usinunue huko

Huko pamejaa watu wa hadhi ya chini, watu wasioijua shule, waswahili haswa, washirikina, wapenda makelele foleni za kugombania daladala

Huko hata ukiwa na usafiri jiandae kuchukiwa na kulogwa kwa kila hali

Kuna watu wanapitia kila siku drama mpya kwasababu ya kupenda vitonga vya kununua viwanja cha bei chee

Sehemu zenyewe nyumba zinajengwa hovyo hovyo bila mpangilio bora mtu ukikosa kabisa ukanunue kibaha kuliko huko
Wewe mbona ujalogwa?
 
Jibuni hoja yake nikweli ninyi wenyeji wa uko ni wachawi? Sema tuwaombee sasa ivi
 
Back
Top Bottom