hupendi nini?

hupendi nini?

unapenda kutongzwa? Pole ndugu yangu, wanawake huwa hawatongozi, labda........................
 
1. uliyotaja yote
2. ubeya/majungu
3.pride a.k.a majisifu
4. ubadhirifu wa wanasiasa
 
Sipendi mtu anayekulalia kwenye daladala au basi la mkoani as if yuko kitandani na kukudondoshea udenda, sipati picha akiwa kitandani sijui inakuwaje!!!!!!!!!
 
sipendi mtu anayejitafuna tafuna kama ng'ombe anapokuwa usingizini
 
Sipendi tabia ya majitu isiyopenda kujiamin.

Near by Simike Mbeya
 
Mi sipendi kupanga nyumba moja na mtu asiye flash akitoka chooni,sipendi masharobaro wanao vaa milegezo ili charter la boxer aliyovaa lionekane,sipendi mademu wanaoweka nywele artificial halafu wanajifanya wanatikisa kichwa zisiwazibe macho kama wazungu vile!

Kama vile nimekukubali Jaaa...
 
Sipendi watu wanao iponda Mbeya wakati ndiyo mkoa unao ongoza kwa watu waelewa Tanzania & East Africa.

Near by Mlima nyoka Mbeya.
 
#1)Siipendi mijitu isiyo na shukrani.
#2)Sipendi jf kukatikakatika,huwa nakosa raha kabisa.
 
Siipendi jf inanipotezea muda mwingi sana, ila nimeshakuwa addicted nina kazi sana
 
-Sipendi kusubiri chakula!
-Sipendi kusikia mlio wa alarm asubuhi.
-Sipendi pale napolazimika ku'make friendship na adui yangu.
 
-cpend mashndano ya mabasi
-cpend matuta makubwa kama ya pale mk10
 
Mi sipendi wale ambao hawapendi
 
Nawapenda kwa kiroho safi wana Jf wote japo siwafaham kisura.

Near by Uhindini Mbeya.
 
Back
Top Bottom