Huo mchuzi...jamaa alikuwa na haki

Huo mchuzi...jamaa alikuwa na haki

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
2,532
Reaction score
3,177
Mate yananitoka hapa
Screenshot_20210530-141625_1.jpg
 
Kuna watu wanapenda Sana kukadilia nyama kidogo utadhani Sherehe ni yao.
 
Mwenyekiti au ni macho yangu....anaomba nyama hata mbili itapendeza!!!
 
Hii Sasa Ndiyo Top Layer (Chuzi Shatashata)
Kama Alivyosema Pole Pole Kuhusu V8 Ndiyo Tunatumia Sisi
😆😅😄😃😂😁😀😅😄😃😂😄😅😅😆😄😃😃
 
Back
Top Bottom