Huna kazi lakini kwenye simu una 50,000 Tshs tu, ifanyie hiki ninachokushauri...

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,958
23,100
Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF.

Leo nimekaaa nimewaza sana namna ya kumsaidia mtu aliekata tamaa hana pesa au kama anayo imebaki ya ngama yani ikiisha na hyo tu Ndio kwisha habari yake.

Leo naongea na kijana alie tayari kuanza upya, naongea na kijana alie tayari kusema "imetosha" nahitaji kusimama na kutembea mwenyewe lakini zaidi naongea haya kwa kijana aliekataa tokea moyoni mwake "Kuajiriwa".

Amekataa kuajiriwa lakini pia hana mtaji mkubwa (na assume) ana 50,000 tu mfukoni mwake, leo nataka nikufundishe namna ya kutoka kupitia hiyo 50k yako.

Upo ndani peke ako unasoma hii post,umejibanza mahali huelewi utafute kazi gan ufanye sasa usijali Sauti hiii usiipuuze itii na ifanyie kazi utanishukuru siku 1,naamini upo tayari kama jibu ni NDIO karibu.

SIFA ZA MLENGWA
  • Uwe HAI na Mwenye Utayari

Unajua hamna kitu kigumu kwenye biashara kama kuwajulisha watu unafanya biashara gani na upo wapi, ni kazi kubwa sana kusambaza taarifa na kuwajulisha watu kuhusu huduma unayotoa.

ndio mana hata ukiwa unatafuta frem, utaona bei zinatofautiana si kwasababu ya ukubwa wa frem au uzuri wa frem ila ni kwasababu wenye nyumba wanaangalia Location (eneo frem ipo) kama ipo barabarani bei itakua kubwa kwasababu ni rahisi watu kuiona na kujua unachofanya.

kwahiyo Taarifa kuwafikia wateja ni jambo kubwa na la muhimu sana,ndio mana unaona kampuni zenye pesa hawaoni shda kutangaza biashara zao kwenye ma tv,radio,magazeti,nk hii yote ni ili watu mjue wanachofanya hata usipowahitaji leo ila siku unawahitaji wawepo kwenye list yako ya utakao wafikiria.

Sasa leo namimi nataka kukushauri namna yakupiga pesa,inaweza isiwe leo au kesho au wiki hiii ila (hautovusha mwezi) haujatafutwa,itaonekana kama ya kawaida ila nakushauri ichukue kama nitakavyokupa yani i copy n paste.

Hapo ulipo ni mzima wa afya,hunatatzo kiafya viungo vyako viko fit 100% unatafuta kazi lakini hupat na ukipata unapata kazi ya 5000 per day na utafanya siku nzimaaa mwsho unapata 5000 au 4000 sazngine yote uliyoipta iishie kwenye nauli,vocha na kula.

Leo acha nikwambie kitu kuna kamsemo unasema "kila mtu atavuna alichopanda" je umepanda nini?

Jiulize je unajua kufua?
unajua kufanya usafi?
unajua kulima majani yalio ota?
unajua kupasi na kukunja nguo vizuri?,
unajua kuosha vyombo na kusugua masufuria yalioshndkana yakang'aa?
unajua kupika chakula kizuri? (taja aina za vyakula unavyovijua uko vizuri,,hubahatishi)
unajua kufundisha na kucheza na watoto wadogo?

najua unajua vitu vingi ambavyo unaweza kujiuliza kichwani mwako,je katika hayo maswali yote unayojiuliza jibu lake ni NDIO!? kama jibu lake ni NDIO inatosha kbsa kusema hapo ulipo umekaa kinyonge lakini una mtaji mkubwa sana umeukumbatia bila kujijua.

Sasa kwakua jibu lako ni ndio unajua yote hayo,wewe hapo ulipo hauna kazi yyte ile,unajua kupka ila huna cha kupka,unajua kuosha vyombo ila huna chombo cha kuosha,unajua kufanya usafi ila ushafanya usafi hapo kwako huna tena chakufanya..

Kwanini usiwafanyie wengine?

Unajua kuwa kuna watu wanatafuta watu wakuwafanyia hizo kazi kila siku iitwayo leo? wanateseka sana hawajui pakuwapata,Kuna kina sisi ni mabachela SUGU ila ukija kwangu utahisi naishi na mtu,utakuta vitu viko kila kitu kona yake vimepangwa safi kabisa.

Unafkiri nafua mimi,sifui,, unafkiri napkaga mimi walaa muda huo sina Nafanyaje?! kuna mtu wa hizo kazi tunalipana kwa namna tulivyokubaliana,sasa unafkiri watu type hiii wako wangapi? ni wengi sana hasa maisha haya ya sasa hivi ambayo watu wanatamani mchana ungekua msaa 15 usiku masaa 9.

wanafanya kazi mchwa akasome,watu wanamajukumu,usimuone mdada amependezaa barabarani msafiiii ukafkri hana nguo chafu pale kwenye tenga,anazo zinamsubiri anaziwazia hzoooo, asipokua na nguo Anavyombo vichaf, yani watu walio single wengi wana viporo vya kazi zaidi ya 5.

mdake mmoja mshtukize mwambie twende kwako,utaamini haya niyasemayo... sasa basi kwann usiamue kusaida watu wa kundi hili? ukiachana na hili kundi lipo kundi lingine la wazazi wenye familia kubwa wana ma house girl wageni hawajui kupika.

unajua watu wanatamani wapate hata mtu wakuwafundishia hawa wadada zao wa kazi lakini hawajui watampata wapi huyo mtu,mwisho wanaamua kuomba ndugu au maza house anashnda home wiki akae na dada wa kazi amfundishe.

Hizo kazi zote hapo kuna watu wanatamani wapate wakuwafanyia ktk ulimwengu huu wa delivery kila kitu hebu na wewe fanya delivery ya hizo hudmu majumbani mwao.

UNAFANYAJE SASA,AU WATAJUAJE KUWA UNAFANYA?

si una ile 50,000 imebaki,ile akiba yetu "jicho letu",sasa amka hapo ulipo nenda katengeneze business card. Kutengeneza business card ni 20,000 kwa 25,000 inategemea unatengenezea wapi na kwa material ipi.

Acha tufanye umetengeneza business card kwa 25k ambapo utapewa 100pc za 50k utapata 200pc katika hizi business card utaandika huduma unazotoa mbele na nyuma na utaandika na namba za simu unazotumia.

usiogope kuandika ukweli,usidanganye kama hujui kupika usiweke,kama hujui kufua usiweke Weka huduma unazozijua kweli kweli kama ni usafi ukimfanyia mtu usafi anaogopa kuingia hata na miguu ndani anatamani avue viatu mpk miguu ibaki nnje.

kama n kitanda kutandika unatandika kitanda mpaka mtu akija anaogopa kukilalia,yes andika huduma ambazo ukizifanya mtu hajutiii kukuita kwake umfanyie hiyo kazi.

Baada ya kutengeneza business Card zako,mkononi una 200pc Haya tunakuja hatua ya mwisho Fhamu hizo 200pc ulizoshika mkononi ni wateja wako, maana yake umeshika mkononi Wateja 200.

Baba yangu alinifundisha kuanza kwa maombi ktk kila jambo. Ombea wateja wako hao uliowashika mkononi omba kwa imani unayoijua waombeee ukimaliza sasa kinachofata ni kuwapelekea Business Card zako sasa.

Jiunge kifurushi cha wiki cha kutembea.. Anza kuzunguka kama mjinga mwenye malengo Tembelea maofisi makubwa Vaa vizuri,pendeza kasambaze Card Zako.

usigawe gawe tu kumbuka hela yako ya ngama ndio imetengeneza hizo so hakikisha unaempa unamuona anaelekea. Kuwa makini usije ukagawa card ilimradi ziishe,.

Tembelea majumbani mwa watu nyumba za wapangaji,gonga hodi jitambulishe kwao kisha gawa card zako. Si lazima uzimalize ndani ya wiki gawa taratbu ila kwa watu ambao unahisi n lazma wakutafute..

Utakapomaliza pc 200 na hata kabla utakua umeanza kupokea simu za kazi za watu ukazifanye,kuwa mpole usijifanye ni profeshno sanaaaa fanya kwa ubora na mwisho kazi zikianza kuwa nyingi AJIRI MTU msaidiane,kazi zikizidi AJIRI na mwingine na mwingine Baadae ikikolea fungua kabisa na kampuni yako.

Ajiri vijana wenzako mfanye kazi kwa pamoja, na katika yote hayo usisahau kuwa UAMINIFU ndio mtaji wa kazi yako Utategwa na wateja sana,ukiwa unafua utakutana na pesa mingi sana,kwepa hiyo mitego ya ibilisi iruke kama hussein bolt anavyoruka vile vikwazo uwanjani.

utategeshewa kila aina,kwepa kila mtego uzuri ni kwamba eneo kama una asili ya uaminifu hata wakutegeee madollar chumba kizima hayatokushtua,kafanye usafi mpangie midollar yake usiguse hata noti 1.

nakuhakikishia kuna siku 1 utaona faida ya hii post kama utaamua kuichukulia ktk u serious na ukaacha ile ya "watanionaje" au "watanichukuliaje".
 
Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF.

Leo nimekaaa nimewaza sana namna ya kumsaidia mtu aliekata tamaa hana pesa au kama anayo imebaki ya ngama yani ikiisha na hyo tu Ndio kwisha habari yake.

Leo naongea na kijana alie tayari kuanza upya,naongea na kijana alie tayari kusema "imetosha" nahitaji kusimama na kutembea mwenyewe lakini zaidi naongea haya kwa kijana aliekataa tokea moyoni mwake "Kuajiriwa".

Amekataa kuajiriwa lakini pia hana mtaji mkubwa (na assume) ana 50,000 tu mfukoni mwake,leo nataka nikufundishe namna ya kutoka kupitia hiyo 50k yako.

Upo ndani peke ako unasoma hii post,umejibanza mahali huelewi utafute kazi gan ufanye sasa usijali Sauti hiii usiipuuze itii na ifanyie kazi utanishukuru siku 1,naamini upo tayari kama jibu ni NDIO karibu.

SIFA ZA MLENGWA
  • Uwe HAI na Mwenye Utayari

Unajua hamna kitu kigumu kwenye biashara kama kuwajulisha watu unafanya biashara gani na upo wapi, ni kazi kubwa sana kusambaza taarifa na kuwajulisha watu kuhusu huduma unayotoa.

ndio mana hata ukiwa unatafuta frem, utaona bei zinatofautiana si kwasababu ya ukubwa wa frem au uzuri wa frem ila ni kwasababu wenye nyumba wanaangalia Location (eneo frem ipo) kama ipo barabarani bei itakua kubwa kwasababu ni rahisi watu kuiona na kujua unachofanya.

kwahiyo Taarifa kuwafikia wateja ni jambo kubwa na la muhimu sana,ndio mana unaona kampuni zenye pesa hawaoni shda kutangaza biashara zao kwenye ma tv,radio,magazeti,nk hii yote ni ili watu mjue wanachofanya hata usipowahitaji leo ila siku unawahitaji wawepo kwenye list yako ya utakao wafikiria.

Sasa leo namimi nataka kukushauri namna yakupiga pesa,inaweza isiwe leo au kesho au wiki hiii ila (hautovusha mwezi) haujatafutwa,itaonekana kama ya kawaida ila nakushauri ichukue kama nitakavyokupa yani i copy n paste.

Hapo ulipo ni mzima wa afya,hunatatzo kiafya viungo vyako viko fit 100% unatafuta kazi lakini hupat na ukipata unapata kazi ya 5000 per day na utafanya siku nzimaaa mwsho unapata 5000 au 4000 sazngine yote uliyoipta iishie kwenye nauli,vocha na kula.

Leo acha nikwambie kitu kuna kamsemo unasema "kila mtu atavuna alichopanda" je umepanda nini?

Jiulize je unajua kufua?
unajua kufanya usafi?
unajua kulima majani yalio ota?
unajua kupasi na kukunja nguo vizuri?,
unajua kuosha vyombo na kusugua masufuria yalioshndkana yakang'aa?
unajua kupika chakula kizuri? (taja aina za vyakula unavyovijua uko vizuri,,hubahatishi)
unajua kufundisha na kucheza na watoto wadogo?

najua unajua vitu vingi ambavyo unaweza kujiuliza kichwani mwako,je katika hayo maswali yote unayojiuliza jibu lake ni NDIO!? kama jibu lake ni NDIO inatosha kbsa kusema hapo ulipo umekaa kinyonge lakini una mtaji mkubwa sana umeukumbatia bila kujijua.

Sasa kwakua jibu lako ni ndio unajua yote hayo,wewe hapo ulipo hauna kazi yyte ile,unajua kupka ila huna cha kupka,unajua kuosha vyombo ila huna chombo cha kuosha,unajua kufanya usafi ila ushafanya usafi hapo kwako huna tena chakufanya..

Kwanini usiwafanyie wengine?

Unajua kuwa kuna watu wanatafuta watu wakuwafanyia hizo kazi kila siku iitwayo leo? wanateseka sana hawajui pakuwapata,Kuna kina sisi ni mabachela SUGU ila ukija kwangu utahisi naishi na mtu,utakuta vitu viko kila kitu kona yake vimepangwa safi kabisa.

Unafkiri nafua mimi,sifui,, unafkiri napkaga mimi walaa muda huo sina Nafanyaje?! kuna mtu wa hizo kazi tunalipana kwa namna tulivyokubaliana,sasa unafkiri watu type hiii wako wangapi? ni wengi sana hasa maisha haya ya sasa hivi ambayo watu wanatamani mchana ungekua msaa 15 usiku masaa 9.

wanafanya kazi mchwa akasome,watu wanamajukumu,usimuone mdada amependezaa barabarani msafiiii ukafkri hana nguo chafu pale kwenye tenga,anazo zinamsubiri anaziwazia hzoooo, asipokua na nguo Anavyombo vichaf, yani watu walio single wengi wana viporo vya kazi zaidi ya 5.

mdake mmoja mshtukize mwambie twende kwako,utaamini haya niyasemayo... sasa basi kwann usiamue kusaida watu wa kundi hili? ukiachana na hili kundi lipo kundi lingine la wazazi wenye familia kubwa wana ma house girl wageni hawajui kupika.

unajua watu wanatamani wapate hata mtu wakuwafundishia hawa wadada zao wa kazi lakini hawajui watampata wapi huyo mtu,mwisho wanaamua kuomba ndugu au maza house anashnda home wiki akae na dada wa kazi amfundishe.

Hizo kazi zote hapo kuna watu wanatamani wapate wakuwafanyia ktk ulimwengu huu wa delivery kila kitu hebu na wewe fanya delivery ya hizo hudmu majumbani mwao.

UNAFANYAJE SASA,AU WATAJUAJE KUWA UNAFANYA?

si una ile 50,000 imebaki,ile akiba yetu "jicho letu",sasa amka hapo ulipo nenda katengeneze business card. Kutengeneza business card ni 20,000 kwa 25,000 inategemea unatengenezea wapi na kwa material ipi.

Acha tufanye umetengeneza business card kwa 25k ambapo utapewa 100pc za 50k utapata 200pc katika hizi business card utaandika huduma unazotoa mbele na nyuma na utaandika na namba za simu unazotumia.

usiogope kuandika ukweli,usidanganye kama hujui kupika usiweke,kama hujui kufua usiweke Weka huduma unazozijua kweli kweli kama ni usafi ukimfanyia mtu usafi anaogopa kuingia hata na miguu ndani anatamani avue viatu mpk miguu ibaki nnje.

kama n kitanda kutandika unatandika kitanda mpaka mtu akija anaogopa kukilalia,yes andika huduma ambazo ukizifanya mtu hajutiii kukuita kwake umfanyie hiyo kazi.

Baada ya kutengeneza business Card zako,mkononi una 200pc Haya tunakuja hatua ya mwisho Fhamu hizo 200pc ulizoshika mkononi ni wateja wako, maana yake umeshika mkononi Wateja 200.

Baba yangu alinifundisha kuanza kwa maombi ktk kila jambo. Ombea wateja wako hao uliowashika mkononi omba kwa imani unayoijua waombeee ukimaliza sasa kinachofata ni kuwapelekea Business Card zako sasa.

Jiunge kifurushi cha wiki cha kutembea.. Anza kuzunguka kama mjinga mwenye malengo Tembelea maofisi makubwa Vaa vizuri,pendeza kasambaze Card Zako.

usigawe gawe tu kumbuka hela yako ya ngama ndio imetengeneza hizo so hakikisha unaempa unamuona anaelekea. Kuwa makini usije ukagawa card ilimradi ziishe,.

Tembelea majumbani mwa watu nyumba za wapangaji,gonga hodi jitambulishe kwao kisha gawa card zako. Si lazima uzimalize ndani ya wiki gawa taratbu ila kwa watu ambao unahisi n lazma wakutafute..

Utakapomaliza pc 200 na hata kabla utakua umeanza kupokea simu za kazi za watu ukazifanye,kuwa mpole usijifanye ni profeshno sanaaaa fanya kwa ubora na mwisho kazi zikianza kuwa nyingi AJIRI MTU msaidiane,kazi zikizidi AJIRI na mwingine na mwingine Baadae ikikolea fungua kabisa na kampuni yako.

Ajiri vijana wenzako mfanye kazi kwa pamoja, na katika yote hayo usisahau kuwa UAMINIFU ndio mtaji wa kazi yako Utategwa na wateja sana,ukiwa unafua utakutana na pesa mingi sana,kwepa hiyo mitego ya ibilisi iruke kama hussein bolt anavyoruka vile vikwazo uwanjani.

utategeshewa kila aina,kwepa kila mtego uzuri ni kwamba eneo kama una asili ya uaminifu hata wakutegeee madollar chumba kizima hayatokushtua,kafanye usafi mpangie midollar yake usiguse hata noti 1.

nakuhakikishia kuna siku 1 utaona faida ya hii post kama utaamua kuichukulia ktk u serious na ukaacha ile ya "watanionaje" au "watanichukuliaje".
Thread of the day, kongole kaka
 
Uzi mzuri Sasa ndo najiuliza Mimi kenzy nikutane na mmburungutu wa hela niwaze kuuacha! Au mimi huyuhuyu kenzy niende kwenye nyumba geti Kali halafu mtoto anitake nisimle mimi huyu..? Mimi kenzy niweke uaminifu mbele halafu nyege nyuma,Mimi kenzy niweke uaminifu mbele tamaa nyuma sasa nani ataenda motoni..?😂
 
Kenzy...hii kweli haikufai😂😂😂😂
 
Kuna dada niliwahi mshauri hivyo ila yeye hakutengeneza BC yeye alikuwa anaacha namba za simu.

Nashukuru Mungu alinielewa na akafanikisha nilichomwambia.

Kwa siku anafanya kazi nyumba 3 hadi 4 anarudi jioni na 12000 au zaidi.

Kwasasa amefanikiwa kufungua kakibanda ka Mpesa na Tigopesa.
 
Bonge moja la idea aisee,japo nipo thousands miles away na idea hii ila itanisaidia pia,kuna ka kichujio changu kanazurura tu mchana kutwa na ikifika jioni kanaanza kunipigia simu za mizinga,ntahakikisha namkalisha chini nampa nondo hii,nitampa kila aina ya support atakayohitaji kuhusiana na wazo hili,hata ikibidi chuo nitampeleka,najua kesho au keshokutwa nitakuwa nimeepuka kupigwa mizinga ya kizembe, kudos mkuu controla
 
Mwamba umetisha sana sana jini akasome.
Business card ni muhimu sana mashine ingekuwa well ningetoa ofa ya kuwatengenezea wanaohitaji sababu ni essential details ndo zakuweka tu.
Idea ni nzuri kuna watu wataona kama ni ngumu ila kujitoa ni jambo muhimu unaweza dhani utazalaulika ila hii kitu ni another level.
Ule msemo wa kuupiga mwingi mahala pake ni hapa sasa hongera mkuu tumekusoma.
 
Huku wengi ni wavivu hiyo 50000 atabeti ataliwa mwisho anasema bora afe.

Wana JF naowajua mimi kabla hawajamueleza weka picha, au wasipomueleza tuko hapa tunasikilizia tupe connection mitaa ya kwenda kutafuta wateja subiri ujionee maajabu
 
Back
Top Bottom