ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,833
- 44,484
Mbaga anaweza kukuuliza maswali ya ki udhalilishaji sijui hua haoni?Nilikuwa nachekacheka sana?
Au mimi ndio sielewi?
Mbaga anaweza kukuuliza maswali ya ki udhalilishaji sijui hua haoni?Nilikuwa nachekacheka sana?
Ndio 😎Oohh pappii, hivyo?🙄
Dalili za uzeee🤣Mlio like mnamaanisha mmeelewa post? 🫣
Basi mimi nijitafakari sana maana sijaelewa kitu.
Anasema mpunguze nyege onlineMlio like mnamaanisha mmeelewa post? 🫣
Basi mimi nijitafakari sana maana sijaelewa kitu.
Kweli walahi! 😂Dalili za uzeee🤣
Nayeye ndio enjoyment yake ilipo unampaMbaga anaweza kukuuliza maswali ya ki udhalilishaji sijui hua haoni?
Au mimi ndio sielewi?
Anhaaa kumbe! 😅😅Anasema mpunguze nyege online
😁😁 Siku ile upo location nimekaa nakusubirii wee wapiii, hakuna cha simu wala nini hadi saa sita nimekaa viunga vya pale hadi saa sita usiku, ndio nikaamini umeisha niachia vumbiUnajua sana pa kunipata, usinijaribu😅
Hii ni mbaya🤦🏽♀️Ndio 😎
Sorry guysMbaga anaweza kukuuliza maswali ya ki udhalilishaji sijui hua haoni?
Au mimi ndio sielewi?
Tupunguze kujitongozesha kwa mabwana zake, kama nyege zimezidi atutafutie mapadri tulombwe tuzae tutulie🤸🏽♀️🤡Mlio like mnamaanisha mmeelewa post? 🫣
Basi mimi nijitafakari sana maana sijaelewa kitu.
Pole maa😅Kweli walahi! 😂
Hakika na hata mimi mililigumdua hili swala.ni kukosa kazi tu.JF imeharibiwa sana na huu ujinga hawa wapuuzi wana ID zaidi ya kumi, na anaweza kuanzisha mada na kujiongelesha mada nzima na ID zake na mada inakwenda mpaka peji 30 hivi, ujinga mtupu
Usijali janjaroSorry guys
🤣🤣🤣🤣🤣 Aaaiii kasheshe!Tupunguze kujitongozesha kwa mabwana zake, kama nyege zimezidi atutafutie mapadri tulombwe tuzae tutulie🤸🏽♀️🤡
Leo nakuja usiwaze, andaa kila kitu 😎😁😁 Siku ile upo location nimekaa nakusubirii wee wapiii, hakuna cha simu wala nini hadi saa sita nimekaa viunga vya pale hadi saa sita usiku, ndio nikaamini umeisha niachia vumbi
Oooh okNayeye ndio enjoyment yake ilipo unampa
Sapoti tu! Huenda ndivyo alivyo!
Tulieni, sisi ndo tuko!Huu mtandao unaongoza kwa kuwa na wadada wabovu kuliko mtandao wowote, hata mkikubaliana, unatakiwa kukaa mbali unamchora kabla hajafika maeneo
😁😁😁 hadi nikuone ndio nitaandaa aiseee, au nikisikia sauti yako ,Leo nakuja usiwaze, andaa kila kitu 😎