Humu naomba kitu kimoja

Humu naomba kitu kimoja

Pole sana kwa yaliyokukuta
Sijakutwa na lolote wala nasema sipendi kufukiziwa na mtu simwoni nikimmisss nikazi kumpata so nikama unadream tu kitu ambacho ningumu kupata kabisaa .
Wanaume wapo wazuri tu hadi raha unawaona mnakaa mnachart na kuwa na company yenye furaha sio isiyo kwa maana if humjui mtu nikazi tu kumfuatilia mtu yuko miles and miles for what
 
Wapendwa maisha yanaenda na umri pia.
Humu sioni kama kunamtu wakuonekana nope.
Humu watu hawapo ambao wapo serious wengi ni wanamatani na pia wameshachoka vitu vingi sana.
Nimeweka moyo na muda humu nikaja kutambua hili .
Humu ni kuchart tu kama umeboreka ila serious relationship ukitaka katafute kwenye mikusanyiko ya watu kama concerts ,harusi,hotels,lodges,meetings amd conferences humo ndio utampata mtu kwa maana hata first impression ni mnaonana ila humu wako watu wamechoka kweli.
So kama upo serious humu labda uwe mwanaume ndio watu watakuja ila demu ni ngumu.
As for me this is my rule naomba nisipendwe humu kimapenzi naomba tuchart tu.
Tuwe friends humu and thts it.
Sitaki mapenzi muda unaenda nataka nikasake mume mwenyewe nimuone anione sio niote wa jamii forum nitawaste my time zaidii.
Nataka familia na maisha ya songe .
Nawatakia asubuhi njema i am very serious .
Nilivyoumbwa nakuwekwa kwa mama Mungu alishanipangia wangu na hayupo humu pleasee.
All i need is friends only kupendwa siitaji humu i think people mmeniunderstand.
Pole sana kwa yalyokukuta, lkn hata huko unakoamn unaweza ukampata aliye serious na relationship mambo yanaweza kuwa hata zaid ya hayo so kuwa makini, usiwe na haraka....
Swali la kizush. Una umr gan kwan??
 
Sijakutwa na chochote sitaki kufukuziwa na invisible people
 
Cha ajabu unaweza kuta huyu mleta mada ni kidume ametulia zake tuli, jamaa wanatiririka tu huko PM worst case scenario jamaa ni watu wasiojulikana wanatafuta watu wanao mdiss kipara mac regan...
 
Wapendwa maisha yanaenda na umri pia.
Humu sioni kama kunamtu wakuonekana nope.
Humu watu hawapo ambao wapo serious wengi ni wanamatani na pia wameshachoka vitu vingi sana.
Nimeweka moyo na muda humu nikaja kutambua hili .
Humu ni kuchart tu kama umeboreka ila serious relationship ukitaka katafute kwenye mikusanyiko ya watu kama concerts ,harusi,hotels,lodges,meetings amd conferences humo ndio utampata mtu kwa maana hata first impression ni mnaonana ila humu wako watu wamechoka kweli.
So kama upo serious humu labda uwe mwanaume ndio watu watakuja ila demu ni ngumu.
As for me this is my rule naomba nisipendwe humu kimapenzi naomba tuchart tu.
Tuwe friends humu and thts it.
Sitaki mapenzi muda unaenda nataka nikasake mume mwenyewe nimuone anione sio niote wa jamii forum nitawaste my time zaidii.
Nataka familia na maisha ya songe .
Nawatakia asubuhi njema i am very serious .
Nilivyoumbwa nakuwekwa kwa mama Mungu alishanipangia wangu na hayupo humu pleasee.
All i need is friends only kupendwa siitaji humu i think people mmeniunderstand.
Njoo tuwe marafiki wa urabu tu
 
Hata ukimpata wa mtaani naye inawezekana ni member wa Jf... Kwahyo utakuwa haujaepuka chochote...
 
Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
Hii ndio point ya msingi,nadhani walikuja wengi ukachagua wa kukuumiza,kupanga ni kuchagua pole sana.
 
Una stress wewe tangu mwanzo hawakuwepo au ulizaliwa jf? Ukute umeisha zungukwa na wote mtaani sasa ulidhani humu jf ndiyo utaonekana mpya..! Used used tu rafiki vumilia wapo wanaohitaji uses.
Umenikumbusha hapa enjoy life hapo hujakosea asante kwa ushauri
 
Una stress wewe tangu mwanzo hawakuwepo au ulizaliwa jf? Ukute umeisha zungukwa na wote mtaani sasa ulidhani humu jf ndiyo utaonekana mpya..! Used used tu rafiki vumilia wapo wanaohitaji uses.
Unajua vijitu vifupi kabisa kama vizakayo vinashida wewe mwenyewe ukikaa namtu mahali huonekani hufikii wala hicho kiti licha uonekane kwenye meza ukiorder kitu unalia kwa chini kama mtoto kisa kila kiti na meza vimekupita hata viwe vya chini kiasi gani unastreess kazi unatafutia watu wanawake kwa maana unaishilia kuonekana haupo mtu unasema samahani dada naomba nionge nawewe anaangalia kila mahali aoni mtu anaishilia kuondoka utabakia hivyo tu nakimdomo kama cha mcwa wenzio wanaoa wewe upo tu unacheza nawatoto wao hawakuoni hata wewe mkubwa pimbiii wewe sura mbaya unatishia hadi nyau paka mbwa na wanyama wote waporini.
Hebu ongeza urefu kidogo uonekane mwenzio zakayo alipanda juu ya mti yesu amuone natofauti yake na wewe wewe ni lofa yeye anazo wewe mpaka mlo unagongea kwa waliooa.
 
Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
Wenye mapenzi ya kweli na uhitaji ulitutosa umeenda kuambulia kupigwa pum..... B

Walio serious wapo ila ww ndio hauko serious
 
Unajua vijitu vifupi kabisa kama vizakayo vinashida wewe mwenyewe ukikaa namtu mahali huonekani hufikii wala hicho kiti licha uonekane kwenye meza ukiorder kitu unalia kwa chini kama mtoto kisa kila kiti na meza vimekupita hata viwe vya chini kiasi gani unastreess kazi unatafutia watu wanawake kwa maana unaishilia kuonekana haupo mtu unasema samahani dada naomba nionge nawewe anaangalia kila mahali aoni mtu anaishilia kuondoka utabakia hivyo tu nakimdomo kama cha mcwa wenzio wanaoa wewe upo tu unacheza nawatoto wao hawakuoni hata wewe mkubwa pimbiii wewe sura mbaya unatishia hadi nyau paka mbwa na wanyama wote waporini.
Hebu ongeza urefu kidogo uonekane mwenzio zakayo alipanda juu ya mti yesu amuone natofauti yake na wewe wewe ni lofa yeye anazo wewe mpaka mlo unagongea kwa waliooa.
Hili povu linafaa kufulia
 
Unatakajeee mimi muda unaenda???
Nataka ufurahie maisha yako usiwaze sana maisha ya ndoa kuna jirani yangu kaolewa mwezi tu. Akaachika hivi sasa anazeeka alipata mtoto mmoja ndio tunacheza nae ana miaka 20+ mama yake nadhani 50+. Sio lazima kuolewa na mwanaume unae mpenda ila olewa na mwanaume mtakae endana kimaisha na kuyafurahia. Nakutakia furaha na maisha mema

Ndukiiiii🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom