Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,194
Nimekufananisha na huyo wa pili!.😂😂😂 hao ndio unawaona sasa sio wahuni wahumu
Nimekufananisha na huyo wa pili!.😂😂😂 hao ndio unawaona sasa sio wahuni wahumu
DahDah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
mada zake tu zenyewe zinafanyaga tumuone hayuko siriasUngejifunza kujipenda kujiheshim na kujithamini wewe mwenyewe kwanza wanasema mabadiliko huanza na wewe
Humu wato wapo serious sana, sjui umeshaona wangapi had ukaconclude hivo, una msongo wa mawazo, jaribu kupumzika vizur na fanya maisha yako utapata riziki yako
Hakika ya mwenye kusubir yuko pamoja na Mungu kuwa na subra utampata tu uliondikiwa na Mungu na mbaya huwezi jua utampatia wapi humu kila mt atakueleza kuwa amekutana na mwenzeke sehemu tafauti na mazingira tafauti hivyo kuwa na subr dada wakwako yuko .njianiKuna mtu alinipa advise siku nyingi nikampuuzia alisema jamii forum is the place where you can reduce stress but not a place for finding someone serious so becarefull
Sasa leo unasoma hapa nimekuja kuona kweli nasitakaa kupenda mtu humu tena i am serious .
Huwezi chart na mtu miezi miwili hamjaonana halafu kila siku sababu na huwezi ongeana mtu kwa simu na hamjaonana woi
stress ni mbaya sanamada zake tu zenyewe zinafanyaga tumuone hayuko sirias
Unatakajeee mimi muda unaenda???Wanawake wa kiafrika sijui kwanini wanapenda kuingia kwenye serious relationship wakati kule ulaya kuna hata friend of benefit. Kuna wakati wanaume hatutaki kuowa huwa tunataka kupunguza stress tu. Unakuta hela hatupati halafu kuna mwanamke kilaza anataka kukupelekesha kwa kuomba hela kila siku. Aahh acha tuwagegede tu
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kivipi mkuu??Hii risala imenigusa sana!
Nilikuwa nakutaka kwa udhi na uvumba and now you are running away!!....What i gonna do?Kivipi mkuu??
rudi pm tuyajengeMi KE muda unaenda ME wewe muda hujaenda