🤣🤣🤣🤣Weka picha
Kwenye tangazo ulisema kwamba hutaki waume za watu?Ni mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
mungu ananyakati moja kashachelewaSubiri wakati wa mungu dada yetu
Tulip serious tupo pia tunasubiri wanawake serious walio bikiraNi mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Bora umempa ukweli. Ni sawa na mie mzabzab mgegedaji hovyo alafu nikae naomba nipate mwanamke bikra huko ni kuomba blood from stoneTulip serious tupo pia tunasubiri wanawake serious walio bikira
Hakuna aloserious humu wengi wanapenda mtelezoNi mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Mtelezo upi huo! Maana upo na wakubwa wenzio humu 🙄Hakuna aloserious humu wengi wanapenda mtelezo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha ikawaje baada ya kuambulia playboys hebu toa mrejesho vizuriNi mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Wanaume wazuri bado wapo mamii,Ni mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
Umemaanisha Mimi..!!Wanaume wazuri bado wapo mamii,
Jamii forum apa apa wapo,walio single wenye mapenzi ya dhati kabisa.
Unaweza ukakutana na mkaka adi ukajiuliza alikuwepo wapi siku zote.
Usikate tamaa