Humu kuna nini cha ziada?

Humu kuna nini cha ziada?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,266
Tuwekane sawa katika hili wadau. Ni vito, viagra, au kuna zaidi?
pembe.jpg
 
mkuu wewe bado upo huku?
wenzio tunalia na dr Slaa amejikopesha pesa za ruzuku,
mamilioni yanakopeshwa achana na hizo mbona tunatembo wengi sana!
 
mawzo ya kipuuzi hayo,tembo mnaowengi kwahiyo bora watz tuendelee kuibiwa.wewe slaa na mkopo wake vinawahu nni watz kwa ujumla??
 
sasa wewe hizo pembe utazipeleka wapi wakati kashi za ruzuki zinaliwa!
 
Mkuu unamjua mtu mmoja anaitwa Kinana, huyu ni mtaalamu ya haya mambo, kwa msaada zaidi muulize mkuu Henge
wanalalamika wakati sisi ccm tunajua tembo zipo kabao na utajiri wa kutishwa ndo maana huwa tunagawana tuu!
 
Henge kwa iyo zile t.shirt na kanga mnazogawa kwenye mikutano yenu ni matokeo ya mauaji ya tembo wetu??
 
Last edited by a moderator:
Henge kwa iyo zile t.shirt na kanga mnazogawa kwenye mikutano yenu ni matokeo ya mauaji ya tembo wetu??
Mkuu naona wengi hamkifahamu chama cha ccm, waTZ hawana nguo tutawagawia kanga na t shirt na huwa wanaridhika na kuacha kelele, Umemsahau Seif hv umewahi imsikia tena baada ya kupewa benzi!
 
mkuu sasa mbona huwa mnawagawia t.shirt pekee bila suruali zake ama sketi, au mnataka waje kwenye mikutano yenu uchi??
 
Raia Fulani 07:27 Today

Tuwekane sawa katika hili wadau. Ni vito, viagra, au kuna zaidi
Humo ndimo nguvu ya ccm ilipo,na kinana ni dalali tuu,ndiyo maana alipobanwa sawasawa alikri kusepesha huo mzigo japo si wake!!hawa watu ni noma,
Chama cha majangili
 
Waweza mwona Bwana mmoja anaitwa Kinana anafanyia kazi kampuni moja inaitwa CCM, nafikiri anaweza kukusaidia.
sasa huyu Al...babu anaingilika kweli?

mkuu wewe bado upo huku?
wenzio tunalia na dr Slaa amejikopesha pesa za ruzuku,
mamilioni yanakopeshwa achana na hizo mbona tunatembo wengi sana!
Hata mkihamisha mada ukweli bado unabaki pale kuwa serikali ya ccm kwa kushirikiana na kampuni ya Kinana wanashirikiana kumaliza tembo wetu!!
 
sasa huyu Al...babu anaingilika kweli?

Hata mkihamisha mada ukweli bado unabaki pale kuwa serikali ya ccm kwa kushirikiana na kampuni ya Kinana wanashirikiana kumaliza tembo wetu!!
mkuu hatujabisha lakini hili si lamuhimu kwa sasa wakati watuwanakopa mili 20 huko!
 
Mh!!! Milioni ishirini zilizorudishwa wakati kuna mabilioni kutokana na tembo ambao uhai wao umeshapotea? :angry::angry:

Tanzania loses 30 elephants to poaching every day, a shocking 10,000 every year, the government says the situation cannot effectively reverse for lack of resources.
 
Back
Top Bottom