Humu kuna nini cha ziada?

Humu kuna nini cha ziada?

Huyu dentist hatari. Wateja wake wote huishia na kifo. Hafai!
mkuu huyu bwana mizigo yake mingi huzuiliwa china hebu jaribu kucheck nae anajua zaidi na sasa hivi ni mtu mzito ndani ya chama chao cha kijani .Humu ukishakuwa mzito unaanzisha kampuni na unaweza kufanya biashara yeyote na hutaulizwa kwanini unaua tembo wetu ,na kusafirisha twiga wetu huku wanajamii wakitoa tu macho .
 
Nadhani hii inawafaa zaidi
large copy.jpg
 
hawa watu ni hatari sana watawamaliza hawa tembo kama walivyowamaliza vifaru sijui kizazi kijacho kitakuaje mi naona itungwe sheria kali ya kuuawa hadharani ili wakome
 
Yani wajukuu zetu watakuja kusoma historia ya tembo kama sisi tunavyosoma historia ya Dinosaur
 
Back
Top Bottom