Humu kuna msichana wife material?

Humu kuna msichana wife material?

Haa haa darali unatishaaa big up, nikupe na dada yangu uninadie nitakukatia ktk posa baada muhusi kutoa pesa.
 
msichana wife material anatafutwa.

sifa zinazotakiwa:
age not above 35
education....not below form iv
religion..any but christian will be preferred
awe ready for marriage a year later.
awe tayari kuishi na mme busy.....siku zingine atalazimika kulala pekee mme akiwa kazini
asiwe mtu wa kupenda ajira saana....i mean awe na akili ya enterpreneurship

awe outing going and social.......i mean asiwe religous sana.

awe mrembo angalau basi ukitoka naye watu wakodoe mimacho.....iyo ndio raha bwanaa

sifa za anaetafuta

age below 35
education...... degree in medicine....kagraduate mwaka jana.....anatibu humu humu jijini
religion.......christian
anapenda mama atakae weza kulea watoto vizuri , watoto wakuwa madaktari.
yupo busy some how kwa hiyo kaa ukijua.


karibuni......inbox kwa maelezo mengine.


mm dalali tu lkn.





umewakosa hata manes walio karibu yako unakuja kwa wazee wa ATM?! Mbona yupo Evelyn salt wife material??
 
Mambo yanarahisishwa kila siku tushindwe wenyewe
mi ngoja nichukue namba ya dalali nikiwa na shida nimcheki....

vp ostadh juma..! sifa unazo kweli? hahaaa!!

hiyo cv haipo kabisa!
 
Sifa za mtafuta ni vyema ange'weka size ya kigegedeo chake kwa urefu na upana. Hawa mabinti siku hizi hawaitaji sifa hizo alizo zitaja anazo. Kwao imekuwa ni sifa mbadala. Aweke bila shaka kabisa atafanikiwa kwa urahisi au kuto fanikiwa kabisa.
Hahahahahahaaha jamani jeiefu kuna mengi lol.
 
Acha udomo zege! Umeamua kutafuta madalali unamaanisha ww huwez kutafuta?:target:
 
me ninazo baadhi
Age 28
Education Form four with Division 5
Religious mlokole christian
Work nimeajiriwa na napenda sana kazi na pesa kuliko kitu kingine hasa mwanaume..
sipendi kuwa mjasiriamali sababu hiyo ni inborn character na mm hiyo sina.
Niko busy na mambo ya Kanisa kuliko ya kijamii.
Napenda outing ila ninapojisikia.
All in all kwenye urembo nadhani hilo jila linajidhihirisha yani nimefanana sana na huyu wajina wangu... lol! hapo je?
 
Back
Top Bottom