mafurikoyamoto
Senior Member
- Sep 13, 2013
- 160
- 53
msichana wife material anatafutwa.
sifa zinazotakiwa:
Age not above 35
Education....not below form iv
Religion..any but christian will be preferred
Awe ready for marriage a year later.
Awe tayari kuishi na mme busy.....siku zingine atalazimika kulala pekee mme akiwa kazini
Asiwe mtu wa kupenda ajira saana....i mean awe na akili ya enterpreneurship
Awe outing going and social.......i mean asiwe religous sana.
Awe mrembo angalau basi ukitoka naye watu wakodoe mimacho.....iyo ndio raha bwanaa
Sifa za anaetafuta
Age below 35
Education...... degree in medicine....kagraduate mwaka jana.....anatibu humu humu jijini
Religion.......christian
Anapenda mama atakae weza kulea watoto vizuri , watoto wakuwa madaktari.
Yupo busy some how kwa hiyo kaa ukijua.
Karibuni......inbox kwa maelezo mengine.
Mimi dalali tu lakini.