Huntsman
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 648
- 619
Wanabodi wale mlioko kwenye TV angalieni channel ten now Polepole anawachambua makada wa ccm.
==================================
==================================
Baada ya kuficha hisia zake kwa muda mrefu,Hatimae polepole aweka wazi yeye ni mwanachama wa CCM yupo chanel ten tumfuatilie kada huyu
Amesema yeye anaammini kwenye misingi ya uanzishwaji wa chama hicho mwaka 1977
Ikumbukwe muda wote wa bunge la katiba kijana huyu alishasema mara nyingi kuwa yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini
Naona kasema Mwigulu na January bado vijana sana hawana uzoefu wa kutosha serikalini hivyo wanahitaji zaidi uzoefu wa kiuongozi kabla ya kufikia URais.
Katoa mifano ya viongozi vijana kama yule wa Madagascar, Burundi etc wanavyosumbua.