mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,017
- 3,037
- Thread starter
- #41
Mkuu mi natafuta hela kwa jasho langu na kamwe sijawa waza kuiba au kupiga dili.Umejiweka bayana wewe ni mtafuta pesa hauna wito wa kuwatumikia wananchi ndio maana unashangaa huyo unayemshambulia kwamba amekosa nini hadi kuanza kukosoa.
Hayupo kwa ajili ya kutafuta pesa ila kuhakikisha watanzania wanapata haja ya moyo wao sivyo walivyo wapigaji na madili mnawaza kupiga kama wewe
Na KAMWE siwezi kuwalamba miguu watu eti kisa nipate maslahi kama mfanyavyo.
Hapa nilipo navuna NYANYA zangu.
ILA namzungumzia POLEPOLE kwa kuwa ana kitu cha ziada nimekiona kichwani kwake