Humphrey Polepole, Musukuma na "Kakikundi" kao tunawatazama kwa makini sana!

halafu dada umerukwa na akili, uvuvi na jukwaa la siasa wapi na wapi ??! Haya Wai mwaloni kanunue sato ukatembeze uuze,

kutwa mnamsakama Samia, Magufuli ameshakufa, Now Rais ni Samia hadi 2050, hutaki Hama Nchi
 
Rais wa hovyo kuwahi kutokea. Hana vision, anaenda na mihemko, hovyo below presidential standards. Ptuu
 
We mataga kweli kweli; mtu akiwa na mawazo tofauti na ya kwako basi anakuwa adui? Wajinga ndio waliwao!
 
Polepole alipigwa chini na Magufuli, aliyemuondoa kwenye wadhifa wake, na sababu kubwa ni kuwa ameuza nafasi nyingi za ubunge, ameuza nafasi kwenye mchakato wa ndani wa CCM. Magufuli alipigundua ndipo akaamua na kumfanya mbunge. Sasa leo PP kuja kumsakama Mama Samia eti kwa nini hakunipa nafasi.
 
Ccm mmepungukiwa kitu akili,busara au matumbo yamezidi nguvu akili,mpaka lini mtakuwa mnajikomba kwa watu tukiwaambia suluhu ya haya mambo ni katiba mpya yenye kupunguza madaraka ya hawa viongozi na kukomboa mihimili yetu mikuu mitatu, tukifanya hivyo system yenyewe ita pick good leader na ku suck out wachumia tumbo
Tuache unafiki na ubinafsi tudai katiba mpya,sio kama sasa kiongozi aliye kuteuwa akiondoka amefariki au amestaafu wafwaaa
 
Kazi kweli kweli
 

Unasema ulikuwa na RAIS shupavu ambae alikuwa sio omba omba?

Mbona hadi anaondoka deni la Taifa lilizid kupaa juu na umaskin ukashika hatam kwa Kasi?

Ni miez takriban nane saiz tokea atoweke unadhan RAIS samia atafanya miujiza gan ya kubadili uozo wa mwendazake kwa haraka hivyo,anaenda kwa hatua na hata hivyo she's doing a fantastic job,sema wasukuma mkiongozwa na pole pole it's like mmerukwa na akili na hamuanim kuwa comrade Magufuli is very dead and very gone,polen sana
 

Tuondolee hiyo laana,we prayed a lot so that god could send a soul taker to take his soul away so as we can breathe a little bit and our prayers were answered,

Then,out of nowhere unataka kutukumbusha hilo jinamiz?hiv wabongo mbona mnakuwa wepesi wa kusahau hivi??

Wafanyakaz na watumishi wa umma miaka zaid ya mitano hakuna salary incriment Wala kupanda madaraja,

Wafanya biashara walifunga biashara na wengine kuhama nchi kabisa ikiwa na TRA kuwabambikia madeni yasiyo na haki na uhalisia,

Kuvuruga demokrasia na uhuru wa vyombo vya habar ikiwemo na kuharibu uchaguz na kubambika wabunge wa ccm wote kule bungeni na kulinyima bunge hadhi ya kuisimamia serikali,

Chombo huru Cha kusimamia matumiz ya serikali kama CAG alikifunga mdomo na kukipa vitisho ikiwa na kumuondoa CaG kimizengwe kabisa Ili watu wasijue madudu ya serikali yake,

Kukua kwa Kasi kwa deni la Taifa zaid ya watanguliz wake huku yeye akiongopa kuwa alikuwa anafanya maendeleo kwa kutumia pesa za ndani,unataka kutuambia alikua na ubora upi wa kukumbukwa??

Mmerukwa na akili au
 
We una kichaa sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…