Jay master
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 716
- 805
Atatolewa Nchi kavu (nje ya Chama) Kwanza ili abanikwe vizuri,Nimeikuta mahali hii
Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana...
Usihofu 2025 inatosha kabisa kukataa wahuni.Hahaha, eti utaongea 2025!! Subiri 2030 maana 2025 ameshapitishwa, Pole sana, miaka 9 siyo mingi sana, vumilia
Membe na Lissu walishambulia mtu lakini polepole hajasema mtu sasa hapo ulinganishi wako haupo sawa.Nimeikuta mahali hii
Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana...
Take it, hataongea tena atabaki kubwabwaja tu na the next press conference hakuna mimbali ya yeye kuzungumza.Anatakiwa aendelee kuongea ili tujue kinachoendelea katika Nchi Yetu
Polepole inatakiwa ashughulikiwe haraka, mnafiki mkoja huyoHuyu jamaa hakuna mwananchi anamuonea huruma,huyu ndie likuwa mstari wa mbele yeye na yule mijicho katika madai ya kuipanga katiba mpya na wananchi waliwapa sapoti kubwa sana na wakiaminia msimamo wao ndio unaofuatwa,mwisho wa skiku akawageuka wananchi na kuwapiga madongo na kujifanya hajui wala hana habari na katiba...
Andika hayo matusi ambayo walimtukana diktetaMembena lisu walishambulia mtu lakini polepole hajasema mtu sasa hapo ulinganishi wako haupo sawa.
Na lisu and membe walitukana watu wakati polepole anashauli sas kama ushauli ni kosa basi chadema na wapizani mnatakiwa kukaa kimya pia.
Tayari mamba huyu ameshavutwa nchi kavu (nje ya system) na makada wamemzunguka na marungu wanasubiri tu kipenga waanze kumtwanga bila huruma.Atatolewa Nchi kavu (nje ya Chama) Kwanza ili abanikwe vizuri,
Vumilia Mkuu, miaka 9 siyo mingiUsihofu 2025 inatosha kabisa kukataa wahuni.
Kama huna la maana la kuongea bora unyamaze tuPolepole haamini kabisa kama dikteta hayupo hai
Saa nyingine mtu akiona umemzidi anajifanya kazimia ili ama uondoke uzania umemaliza kazi ama ulegeze akugeuzie kibao wewe mwenyewe.Mzee Polepole, akina Nape walipoenda kwa Mzee wako wakipiga magoti wanalia wakiomba msamaha hawakuwa wajinga, walijua fika kwamba ndani ya CCM mfumo wa kukosoana waziwazi haupo...
Huyo Polepole wacha ajionee mwenyewe kwamba kila enzi ina wenyewe; alishafanya aliyoyafanya na wenziwe ktk enzi zao na sasa yuko ndotoni, mwache ajionee mwenyewe na ajue kwamba yuko ndotoni. Hayo atayajua pale maruweruwe ya usingizi yatakapomtoka. Labda umkumbushe wewe kwamba enzi zile zimeisha, huenda atakuelewa.Nimeikuta mahali hii
Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana.
Wananchi wenyewe hata wakijua kinamanufaa kwa taifa bado hawawezi kupaza sauti, ajabuHuyu jamaa hakuna mwananchi anamuonea huruma,huyu ndie likuwa mstari wa mbele yeye na yule mijicho katika madai ya kuipanga katiba mpya na wananchi waliwapa sapoti kubwa sana na wakiaminia msimamo wao ndio unaofuatwa,mwisho wa skiku akawageuka wananchi na kuwapiga madongo na kujifanya hajui wala hana habari na katiba.
Kuna Mh. mmoja aliapa kuendelea kupinga kwa nguvu zake zote chanjo dhidi ya korona, siku hizi simsikii alienda wapi?Polepole kwa anavyoenda anapambana kufa na kupona,
Itakuwaje mara paaap,kapewa uwaziri?ukumbuke sio kila anayeongea mabaya ni mbaya kwa serikali,unaweza kukuta huyo ndio aina ya watu serikali inawahitaji sana ili iweze kufanya kazi zake vizuri,so don't get him wrong...Nimeikuta mahali hii
Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana.
Unajua wengine wanaogopa kunyamazishwa kabisa,Kuna Mh. mmoja aliapa kuendelea kupinga kwa nguvu zake zote chanjo dhidi ya korona, siku hizi simsikii alienda wapi?
Angechagua kua na wananchi kipind kile cha teka, tesa, ua, funga, weka ndan, tungemuelewa sana!!Acha maneno mengi pole pole amechagua kuwa na Wananchi katika shida na raha