We ni mwanamtandao?Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.
Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.
Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao
Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.
Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
Kinusuriwe kina shida gani, CCM sahv iko strong kuliko wakati mwingine wowote ule. Hebu fikiria jimbo moja la uchaguzi lina wagombea zaidi ya 20 na humo kuna wasomi wa kiwango cha juu cha uprofesa. Chama chenye wafuasi km hao unanusuru nini, huu upuuzi wa misukule ya humu mitandaoni?Mkapa ndo alinusulu chama kipindi kile now sasa wa kunusulu chama
Hili swali muulize aliyeibiwa mke
Ni kweli Humphrey alifanya makosa makubwa chini ya Magufuli, hakuna wa kuyasafisha. Lakini kosa la jana haliwezi kuwa kizuizi cha mtu leo kusimama upande wa ukweli, isipokuwa kwa wale wanaoogopa ukweli huo. Kazi ya Taifa si kuendelea kushikilia hasira, bali ni kutumia kila mtu aliye tayari kupigania mabadiliko ya kweli — hata kama jana alikuwa upande mbaya.Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.
Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.
Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao
Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.
Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
Wahuni ndo mnasema kipo strong,CCM sahv iko strong kuliko wakati mwingine wowote ule
Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.
Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.
Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao
Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.
Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
Ni wana mtandao nahisi walimpiga riisasi kumuhujumu raisAliyempiga risasi lissu kunauwezekano mkubwa akawa Makamu wa kipindi kile ili kumhujumu rais wa kipindi hicho.Maana kama siyo yeye Kwa Nini mauaji yaendelee Hadi Leo kama yale ya mzee kibao,mdude na wengine. Huyu wa saa ni muuaji
Mtu hawezi kutubu dhambi na kuokoka??Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.
Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.
Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao
Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.
Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
Hata wewe ukiacha dhambi yako ya uchawa ukaanza kuhubiri haki tutakusamehe mkuu... Hata sauli aliyekua muuaji wa watumishi wa Mungu alisamehewa baada kuacha njia yake mbayaJoseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.
Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.
Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao
Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.
Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
Subiri dawa iwaaingie ,hayo yashapita tugange yajayo ,aliona alikosea ndiyo maana akaachana na WAHUNI.Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.
Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.
Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao
Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.
Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
Inasikitisha kwa kweli.Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.
Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.
Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao
Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.
Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
CCM CHAMA CHA MAMBUZIIla uwezo wake ni mdogo sn na ht hivyo hajajitathmini anajiona mtu mkubwa mwenye ushawishi ila ukweli ni kuwa ni nyau mdg sn
Chiembe ni hivii,huko tuendako wale wote waliokuwa chawa na kutupatia matokeo tunayoyaona leo,watajibu kwani walikubali kuwa chawa na itakuwa huzuni kwao baada ya athari ya ushabiki kwa yale yasiyofaa.Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.
Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa, Lissu alipigwa risasi wakati Pole pole akiwa mwandani wa JPM, asiseme hakujua mpango mzima.
Pole pole alikuwa akitembea na mafuko ya hela kuhonga wapinzani waunge mkono juhudi leo anasema kuna rushwa sana. Pole pole aliyefuata wapinzani magerezani akawapa mamia ya mamilioni kisha wakaapishwa kuwa wabunge wakitokea magereza! Leo hata ambao Pole pole aliua chama chao wamesahau kwamba anayejifanya mwenzao ndiye alikuwa mbeba sumu ya kisiasa kwa chama chao
Leo anajitakatisha aonekane mwema wakati ni jitu katili linalosubiri fursa likamalizie kazi yake. Anafanya siasa za ulaghai akiamini watanzania wamesahau ushenzi waliolifanyia taifa.
Hawapatapa fursa hiyo tena, we said, never again!
Akina Lucas MwashambwaChiembe ni hivii,huko tuendako wale wote waliokuwa chawa na kutupatia matokeo tunayoyaona leo,watajibu kwani walikubali kuwa chawa na itakuwa huzuni kwao baada ya athari ya ushabiki kwa yale yasiyofaa.