Unaelewa ulichoniuliza?Umeelewa ulichokiandika
Ni mbishi kama Paka!Mbona Polepole anawatia hofu sana?
Ameshagusa ila wanamcheki tu!Hajagusa maslahi..ana bwata tu na kuzunguka mbuyu..wahuni wanamchora tu.
#MaendeleoHayanaChama
Umri wake mdogo akiendeleza mapambano akiwa upinzani anaweza akawa tishio sana. Huyu sio mwoga kama Makonda!Ukizingatia umri wake kivipi?
Miaka 56 ni mdogo?Umri wake mdogo akiendeleza mapambano akiwa upinzani anaweza akawa tishio sana. Huyu sio mwoga kama Makonda!
Hakuna mwenye UBAVU wa KUMFUKUZANi kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari Zaidi ukizingatia pia umri wake.
Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao...
Huijui CCM wewe.Ni kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari Zaidi ukizingatia pia umri wake.
Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao...
Hapana. Ana miaka 38 sasa!Miaka 56 ni mdogo?
Walikufanyaje kweni?Huijui CCM wewe.
Anyway, acha kujipigia promo upewe more, kama kweli unadhani una uwezo wa kushindana na CCM shindana.
Mashuhuda tupo🤣🤣🤣🤣
Kabisa kabisa!
Ina maana huyu mnyiramba ni mdogo kwa johnthebaptist?.Hapana. Ana miaka 38 sasa!
Pole pole sio Mnyiramba yule!Ina maana huyu mnyiramba ni mdogo kwa johnthebaptist?.
Wamempuuza hana ubavu wowote..Ameshagusa ila wanamcheki tu!