Humphrey Polepole hatafukuzwa CCM hata aseme matope ya aina yote!

Njaa kali magufuli aliwazoeza vibaya chawa wake kila wakiropoka bahasha, teuzi au v8 leo zamu yao wanaisoma namba
 
Ni kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari Zaidi ukizingatia pia umri wake.

Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao.

Polepole bado ana nafasi ya kufanya makubwa na hivyo akiwa nje ya Chama na mfumo anaweza kuleta nguvu sana kwenye upinzani kwani anajua hata wizi wa kura ulivyofanyikka na mifumo yote dhaifu anaweza kuikabili against.

Ushauri wangu:
Polepole anafaa kuwa Balozi na kupelekwa ubalozi wa mbali sana sana tena ikiwezekana China ambako anaweza kuwekewa majasusi wa ndani ya Chama chake!
Sema wazi afukuzwe kwa makosa yapi? Yataje hata kwa uchache!
 
Ni kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari Zaidi ukizingatia pia umri wake.

Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao.

Polepole bado ana nafasi ya kufanya makubwa na hivyo akiwa nje ya Chama na mfumo anaweza kuleta nguvu sana kwenye upinzani kwani anajua hata wizi wa kura ulivyofanyikka na mifumo yote dhaifu anaweza kuikabili against.

Ushauri wangu:
Polepole anafaa kuwa Balozi na kupelekwa ubalozi wa mbali sana sana tena ikiwezekana China ambako anaweza kuwekewa majasusi wa ndani ya Chama chake!
Huyo jela inamuita soon, Kuna ufujaji mkubwa wa pesa za chama aliufanya, na ana tuhuma za utakatishaji fedha ( Money laundering)

HIZO Ni tetesi zenye ukweli 100%
 
Polepole huyu huyu au mwingine, yaani Polepole aogopwe na CCM au aitingishe CCM...jaribu kuwa serious bosi...
 
Kwani tangu lini amekuwa ccm? Polepole huyu ndio awe na siri za nchi kiasi washindwe kumtimua wakitaka????? Umerogwa wewe.
 
Siamini kama kweli anaijua CCM vizuri zaidi kuliko wale mawaziri wakuu wastaafu wawili waliokihama chama na baadae wakarudi. Kama kweli yeye ni tishio kivile sina shaka kinalijua hilo na kimechukua tahadhari hivyo kama chama hakiwezi kupata madhara yoyote. Labda kama mleta mada unajaribu kumpigia debe apewe ajira mpya.
 
Ushauri wangu:
Polepole anafaa kuwa Balozi na kupelekwa ubalozi wa mbali sana sana tena ikiwezekana China ambako anaweza kuwekewa majasusi wa ndani ya Chama chake!
nashauri apelekwe ubalozi - Yugostilavia ili akakae mbali na CCM yetu.
 
Ni kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari Zaidi ukizingatia pia umri wake.

Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao.

Polepole bado ana nafasi ya kufanya makubwa na hivyo akiwa nje ya Chama na mfumo anaweza kuleta nguvu sana kwenye upinzani kwani anajua hata wizi wa kura ulivyofanyikka na mifumo yote dhaifu anaweza kuikabili against.

Ushauri wangu:
Polepole anafaa kuwa Balozi na kupelekwa ubalozi wa mbali sana sana tena ikiwezekana China ambako anaweza kuwekewa majasusi wa ndani ya Chama chake!
Anajua mengi kuliko Lowasa,Sumaye na Membe?

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Umri wake mdogo akiendeleza mapambano akiwa upinzani anaweza akawa tishio sana. Huyu sio mwoga kama Makonda!

Hana support kwenye upinzani kutoka na role yake aliyoplay wakati wa utawala wa Magufuli dhidi ya upinzani. Kama ni support labda aipate toka kwa wanaccm wenzake. Tatizo litakuja kuwa wanaccm wote wanategemea vyombo vya dola kufanya siasa, ambayo Polepole atakuwa hana.
 
Back
Top Bottom