Humphrey Polepole from a Catfish to a beggar

Tumbo kwanza mengine baadaye
 
Wewe buana . Uzi wako uko kama mchonganishi. Wakati Mwenzako anareport Ikulu wewe sijui unafanya Nini huko. Unazani polepole amepoteza kitu hadi Sasa?

Mshahara wake ni zaidi ya 10M kwa mwezi. Analala na kual Bure. Shauri yako.
Hata Dr. Bashiru Kakurwa nae ana salary juu maposho kibao na mapochopocho lakini ukiyaona mapozi yake pale mjengoni utaona kuwa some text missing, hoja siyo mshahara au kuishi bure na kula tunda kimasihara ishu ni behaviour yako ulipokuwa na position fulani
 
pamoja na hoja zako wewe siyo karba ya polepole ! polepole hadi sasa kumbuka ni mtumishi na anamwakilisha raisi kule malawi! polepole huyuhuyu unayemzungumzia asingekuwa tishio kwa utawala huu asingepekekwa huko ubalozini angeachwa bungeni usikie hoja zake.

ni kijana asiyemwoga na mwenye ujasiri wa hali ya juu katika kusema anayoyasmini
 
Ama kweli nihaki Gharama za Maisha zizidi Kupanda Juu.


Sasa kama unayoyasema hapa ni kweli, Kwann yupo anakula Maisha ?? Akina Sabaya mbona wanashinda KESI Kila kukicha ?


Polepole yupo , na ataendelea kuwepo.

Wacha aendelee kuongeza maarifa ya kidiplomasia, Wacha aendelee kuliletea Taifa wawekezaji.



Umeandika Upuuzi mtupu !! JPM UNAARUFU WAKE NDO KWANZA UNAZIDI KUPANDA JUU WAKATI KATANGULIA MBELE YA HAKI .
 
Kweli kabisa
 
Polepole ni mhuni tu kama Kabudi na Ndugai.
 
Wewe buana . Uzi wako uko kama mchonganishi. Wakati Mwenzako anareport Ikulu wewe sijui unafanya Nini huko. Unazani polepole amepoteza kitu hadi Sasa?

Mshahara wake ni zaidi ya 10M kwa mwezi. Analala na kual Bure. Shauri yako.
Chuki mbaya sana...
 
Hoja ni kufia na mpendwa wao.
 
Sawa kamsalimie kakurwa
 
Humphrey Polepole ni msengerema tu kama wasengerema wengine. Ndo maana waizi walivyovunja nyumba yake kuiba walikuta KY anayoitumiaga kujipaka mtaro
 
Ndani ya muda mfupi tu

Polepole, bashiru, bashite, sabaya, hapi, muro, mnyeti, muroto woote wamezima kama mshumaa.
Hawa wote wanatakiwa waje wafunguliwe mashtaka...wapigwe mvua wakanyee debe. Kmmmao zao
 
Hicho ndicho kilichobaki kujipa moyo ooh mshahara mkubwa ooh diplomasia🤣🤣🤣
 
Ni roho mbaya tu ya mtoa mada, HP bado yupo juu na sasa ndiyo anaiwakilisha nchi vizuri nadhani kuliko unavyomnanga.

Wakati wewe umenunuliwa bundle (mawe) uje umtupie HP na ulipwe mwenzio analiwakilisha taifa wewe unalala na kuota kesho itakuwaje.

HP wa Magufuri hawezi kuwa huyu wa sasa na bahati mbaya wengi huwa tunajisahau 'huwezi kutumikia mabwana wawili' hata ukiwa wewe lazima utamfagilia SSH akitoka nikaja mimi lazima upake na rangi nyeupe na kufagia barabara.

🎯Kila zama na kitabu chake'.
 
Kojoa ukalale, nchi inapaswa kuendeshwa ki-catfish, achana na ideologies za ubaba wa taifa, sijui dada wa taifa, mama Tanzania ni siasa tu hizo… Kuwa mwizi kisa uzee wako ujisahaulishe kuwa ukidandiwa na mamwela vijana watakusaidia kufikisha mzigo huo wa wizi nyumbani kwako, utajuta kuzaliwa.
 
Pamoja na Polepole kuwa Beggar,wewe umemzidi nini?cheo alichokuwa nacho CCM Cha Katibu Mwenezi,baadaye Mbunge na sasa Balozi,je wewe umewahi kushika cheo kipi kati ya hivyo?
"Mpewa hapokonyeki".Pambana na hali yako Mkuu watoto wapate cha kurithi Mkuu.
 
Alitamba sana, na akajiona yeye ni mtoto wa mfalme, ana dharau sana, anaropoka sana, na anajifanya kujua Kila kitu na kudharau wenzake.

SSH ampeleke Ukraine huko wakamshindilie mabomu.

Hakuna mkubwa zaidi ya dola
Mtakufa kwa kiroho kwa wivu wa mafanikio ya wenzenu.
Mnaishi mawazo yenu yakiwa hospitali na nafsi zenu zikiwa kwa shetani.
 
Kuna matako hayo na pumbu ukalale.
Mwenzio bado anakula mema ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…