Humphrey Polepole from a Catfish to a beggar

Humphrey Polepole from a Catfish to a beggar

Aliwahi kutoa kauli Kali;
"KOMA KAMA ULIVYOKOMA KUNYONYA TITI LA MAMA YAKO".
 
Aliwahi kutoa kauli Kali;
"KOMA KAMA ULIVYOKOMA KUNYONYA TITI LA MAMA YAKO".
 
Pamoja na Polepole kuwa Beggar,wewe umemzidi nini?cheo alichokuwa nacho CCM Cha Katibu Mwenezi,baadaye Mbunge na sasa Balozi,je wewe umewahi kushika cheo kipi kati ya hivyo?
"Mpewa hapokonyeki".Pambana na hali yako Mkuu watoto wapate cha kurithi Mkuu.
Usipopokonywa na Wanadamu MUNGU anauwezo wa kukupokonya Magufuli alipewa URAIS akawa MUNGU MTU Eti nae Anatoa ROHO za WATU Yuko wapi?
 
Uongozi ni hekima na karama, Sio kila mtu ni kiongozi mzuri, Kuna watu wamekuwa viongozi kwa bahati mbaya ( By Default)

Humphrey Polepole aliamini ukipata nafasi ya uongozi wa nchi ni daima na milele yaani Immortal(Hakuna kufa wala kumuachia mtu nafasi) Aliamini anayekupa chakula hawezi kufa

Humphrey Polepole huyu aliaminiwa na JPM kama msemaji wa chama cha Mapinduzi CCM ambacho walikiasisi kwa jina Lao jipya yaani CCM mpya bila makubaliano yeyote na wanachama wakaita CCM kama CCM mpya

Humphrey Polepole mtu aliyeamini uchaguzi wa siasa ni kufanya fujo na vurugu, Uchaguzi wa mwaka 2020 alitamka maneno yote ya dharau kwa wana CCM kuwa atawakata mikasi wale wote watakaoenda kinyume na matamshi yake, Wabunge wengi walioshinda kura za maoni walikatwa kwa amri ya Humphrey Polepole

Humphrey Polepole aliamini mtoto anaweza kumdharau Baba yake au Mama yake aliyemzaa na kumtangulia hapa duniani kisa tu mtoto ameota sharubu kama kambare( Catfish), Kambare hata akiwa mtoto anakuwa na ndevu, Ni ngumu kutofautisha Kambare(Catfish) kwani hata kambare mtoto ana ndevu

Humphrey Polepole kwa kujiona Kambare aliwakajeli viongozi wa awamu zilizopita atakavyo, Aliwaunga mkono akina Ally Hapi na magenge yao kuwa wazee wastaafu watulie wanaweza wakawajibu lolote watakalo na walifanya hivyo

Humphrey Polepole, Huyu ni moja ya wale waliojisahau na kujiita wazalendo kuwa wanalipigania Taifa la Tanzania kwa miaka mitano 2015 mpaka 2020 wakijisahu kuwa kabla ya Tanzania walikuwepo wazalendo halisi waliipigania Tanganyika huru

Humphrey Polepole Leo amegeuka mwombaji( Beggar) ili atuletee wawekezaji toka Malawi, Kutoka mtu aliyekuwa anatamka kauli kali na za dharau kwa watanzania kama Catfish, "Unaijua Vietee, Unajua? Vieite wewe"

Ni vyema huyu mtu baada ya muda akapotezewa na akafutwa kazi ya ubalozi kimya kimya

Taifa hili halipaswi kurudi kwenye makosa ya utawala wa vijana na watu wa aina ya Humphrey Polepole wanaoamini mawazo yao na matamshi yao ndio Sheria, Wale wote wanye mawazo mbadala waliitwa wasaliti
View attachment 2289410View attachment 2289412View attachment 2289413

Mkuu umeandika nini. Nieleweshe. Je huyo pole pole anaishi bila Milo 3, au mie sijaelewa: Beggar maana yake nini? Je una chuki na huyo Bwana. Kwanini at all umeandika uzi huu wa kipumbavu na kuonyesha upumbavu wako na majungu mkao. Unadhani Kuna mtu atadumu madarakani?
 
Hata Dr. Bashiru Kakurwa nae ana salary juu maposho kibao na mapochopocho lakini ukiyaona mapozi yake pale mjengoni utaona kuwa some text missing, hoja siyo mshahara au kuishi bure na kula tunda kimasihara ishu ni behaviour yako ulipokuwa na position fulani

Wewe ndo una Shida. Sio wewe? Na Shida yako Ni JPM mzimu. Mana kama madaraka wako wengi sana wameshika madaraka na wameachia. Tena walikuwa wa ovyo sana kwa maneno na matendo. So whats the big deal kuhusu pole pole au Bashiru ?
 
Usipopokonywa na Wanadamu MUNGU anauwezo wa kukupokonya Magufuli alipewa URAIS akawa MUNGU MTU Eti nae Anatoa ROHO za WATU Yuko wapi?

So wewe ulmuona.umekuwa Mungu Sasa. Unajua ya moyoni. Mungu hachukui majambazi haraka. So angalia upya Nani mbaya wako?
 
Back
Top Bottom