Humphrey Polepole avamiwa na majambazi

Humphrey Polepole avamiwa na majambazi

Hakika hapa Jf kuna vichwa !
Jf's member anaesomeka kwa username Kyenju , ndiyo amenifanya niandike thrade hii.

Kyenju kupitia comment yake , humuhumu Jf amehoji kwamba Humphrey hadi saa 5 na ushee jana usiku , alikuwa chanel 10 kwenye kipindi (live) .
Binafsi mimi nilikua nakiangalia kipindi hicho .

Hoja muhimu ya Kyenju , anahoji tujiulize magazeti yanakua yamemakamilika kuchapishwa muda gani ?

Na tuanzie hapo :
Uzoefu unatuambia/tuonesha by saa 5 - 6 usiku magazeti hua tayari yashachapwa , na yaendayo mikoani hua tayari yako njiani .

Point muhimu hapa , ni saa ngapi Mr slowslow alifika home , na ni saa ngapi alivamiwa ? Saa ngapi polisi walifika kum'resque (kama ilivyoripotiwa gazetini)
Na ni muda gani habari zilifika chumba cha habari cha gazeti , zikahaririwa na kueditiwa ?
Na asubuhi zikaamka kwa walaji gazetini.

Ikumbukwe gazeti lililoripoti , ni gazeti lenye mahusiano na Uhuru/Daily news.

Wadau wangu hii makitu inaingia akilini ?
Tamthilia either !

STUPIDITY MAN MADE EVENTS/
ii
 
Last edited by a moderator:

Mfa maji haachi kutapatapa. Uliyosema ni kweli kabisa kama habari hiyo ni kweli basi ingeonekana kwenye gazeti la kesho. Kipindi kiliishia karibu saa tano na nusu usiku na muda huo yalikuwa yamechapwa na hasa upcountry papers
 
Last edited by a moderator:
HP anatakiwa kujua watanzania 2natumia brain kufikilia c masabuli sasa hzo sinema zake za kuigza tumesha zjua gazet mpaka saa 5 yapo njian yanakwenda mikoani sasa hao majambazi walimfata alfajil?
 
Kipindi cha channel ten kilikuwa live au recorded??
 
BWN POLEPOLE amekuwa mwiba kwa LOWASA na mgombea wa ukawa. jana amevamiwa nybani kwake ambapo baada ya kuanza kumshambulia mgombeawa ukawa amekuwa akipata vitisho.
polisi wanaendelea na uchunguzi.

mwiba kwa mamake labda.
 
Kwa mwendo huu nchi hii inakwenda kuonekana kituko kuliko nchi nyingine yeyote ya East Africa na ile heshima iliyokuwa Imebaki kama riwaya ndio inapotea kabisa.
Hii yote mkulu kasababisha,inapofika mahali watu kama Ruge,Nape,Makamba Jr na the like ndio washauri wako na ukaweka pembeni watu wenye hekima zao basi tegemea kuvuliwa nguo tu
 
Wangekaua tu hakana faida tena kwa umma! Polisi wanawahije kwa polepole na wakashindwa kuwahi kwa Kibanda? Usanii!!

siasa zimewatoa watu hata chembe kidogo za utu!
Na kwa roho na akili hizi,ikulu mtaisikia kwenye bomba tu!
MSAHAU!
 
Kwani akivamiwa kuna ajabu gani? yeye ndiye atakuwa wa kwanza kuvamiwa? wangapi wanavamiwa lakini hawaandikwi? yeye ni nani? kwa hiyo wanataka kusemaje?

Mimi nilidhani kauawa? hawa majambazi nao wanapendelea sana, wakiwavamia wengine ni kuwaua, wengine hakuna!

Mbona sengondo Mvungi alivamiwa na kuuawa?
 
Aliyekuwa mjumbe wa Tume Maalum ya Katiba (maarufu-Tume ya Warioba) na mchambuzi wa siasa, Humphrey Polepole, usiku wa kuamkia jana alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake,Mbezi Beach, Dar.

Polisi walifika haraka eneo la tukio. Hakuna madhara yaliyoripotiwa, pia hakuna aliyekamatwa kuhusishwa na tukio hilo.

Source: RFA, Tuongee Magazeti

.
polisi walifika je mapema katika tukio na asikamamtwe mtu?
Usikute ni Kova anajiandaa kutoa filamu ya kichina.
.
 
Aliyekuwa Kamishna wa Tume ya mamdiliko ya Katiba , Humphrey Polepole amevamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana.
Akizungumza na Raia Tanzania kwa njia ya simu, Polepole alisema anmshukuru Mungu hakudhurika katika uvamizi huo kwa sababu polisi walifika haraka eneo la tukio wavamizi wakakimbia.
source: Raia Tanzania.

Tafakuri: Siku za karibuni , Humphrey Polepole amekuwa na msimamo mkali sana sana juu ya Uamuzi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) kumsimamisha Waziri Mkuu aliyeshinikizwa kujiuzulu kwa tuhuma za ufisadi kwenye Mkataba tata ambao serikali iliingia na Kampuni ya Richmond. Humphrey Polepole bila kumumunya Maneno, bila kupepesa macho amekuwa akipinga uwamuzi huo wa UKAWA kwa vile LOWASSA siyo mwadilifu hata kidogo.
Kitendo cha Humphrey Polepole kuvamiwa usiku wa manane kinaweza kuibua hofu na maswali mengi siyo tu kwa familia yake bali kwa watanzania wengi. Tukio hilo linaweza kuhusishwa na ujambazi wa kawaida ambao anaweza kufanyiwa mtu yeyote, lakini hisia kubwa zinaweza kuwa ni Wabaya wake wa kisiasa ndiyo wanataka kumnyamazisha. Nasema hivyo kwa sababu kwa jinsi mazingira ya tukio lenyewe yanavyoelezeka siyo rahisi Majambazi kukubali matokeo kirahisi hivyo na kukimbia.
Ushauri tu kwa Serikali: Kuna haja kipindi hiki watanzania kama Polepole na wengine kupewa ulinzi ili kuwaepushia adha ambazo zinaweza kuwaletea usumbufu wao na familia zo na hata kwa taifa zima.
 
na baada ya kutoka channel ten alionekana maeneo ya kona baa hadi mida mibovu
 
Back
Top Bottom