Itakua jambo jema sanaUsikute mabeberu wamemlazimisha huko.
Ushahidi unaendelea kukusanywa.
Badaye akabadili gia anganiHuyu ndio polepole OG wa enzi za mabadiliko ya katiba, alipokua mwenezi alivaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui. Balozi ni chui kweli kweli, sasa ameuvaa uhalisia wake,
KARIBU TANZANIA
Kabisa,wametangulia wajinga kuongea ushubwada na wenye Akili wakiona uzi Umeanza na ujinga huwa hawatii mguu...watu muwe mnatulia kwanza zikiletwa mada nyeti unawahi kucomment ili iweje,mbona Comment zenyewe za kijinga mnatoa?Natamani sana tungepata watu weledi wa kutufungulia 'codes' katika hiyo hatua aliyochukua Polepole ila wapuuzi tu ndio wametangulia kujadili hapo juu! Naitamani sana ile Jamiiforums ya kabla ya 2015! Tulikua na watu humu bwana!
Kuna watu wanaenda kuenjoy per diem zao kwa miezi kadhaa kwa kazi ya kum-monitor Polepole.Na yule kamanda wenu wa UVCCM, Mchengerwa anahaaa kumtafuta Mafwere afanye kazi yake, maana umeshataja kifo. Mtamalizana
Muulize Mbowe anajua.Wewe kibaka na huyo Polepole mtueleze Ben Rabiu Saanane mlimfanyia yote yale kwa sababu gani , wakati alitoa maoni binafsi kama katiba inavyompa mtu uhuru kutoa maoni .
Polepole hajamaliza baada ya hili aombe radhi kwa yaliyofanywa akiwa kwenye kile kiti enzi za dikteta wa Chato.
Leo hii Chato ni kama Gbadolite kwa Joseph Mobutu.
Madaraka ni kitu cha kupita usiumize watu kisa madaraka hata huyu Samia atapita na kutoka hapo juu kuna watu watakuja kujifanya wasafi baada ya kuwa nje ya viti vya maamuzi wakati kipindi wapo walivitumia kuumiza watu.
Maisha anayoishi mjukuu wa mzee Kibao tangu mwaka jana sio sawa na anayoishi mjukuu wa Samia naye aitwaye Samia maana yule wa mzee Kibao tuliomuona kwenye picha akiwa na babu yake hana babu tena wa kucheza nae na kumsimulia hadithi wakati wa Samia anaishi katika raha bila kuwaza hata kuna kutekwa ,kutolewa macho na kumwagiwa tindikali maana anaye babu anayelindwa 24/7 huku akisikia kauli ya kishenzi kwamba babu yake amekufa sababu kifo ni kifo.
Wajukuu hawa wawili daima wakikutana nadhani hakutakuwepo na usalama huko siku za usoni.
Kwenye hili bado Polepole anadaiwa madeni yake ya awamu ya 5.
anaweza pia kuwa amesoma alama za nyakati kwamba nebukadreza a.k.a Yezebel anguko lake lipo karibu aidha kwa wafuasi wake au Mungu mwenyewe atashuka kusaidia.Mh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
Imagine 😁Ila sisi wepesi sana kusahau.
Mzee wa vieiteee Leo katema bungo Kawa shujaa.
JPM.End...!? Leo ilikuwa siku ya ibada sitaki kutenda dhambi baada ya kusali sala ya nakuungamia Mungu mwenyeziMh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
Haiwezekani, nchi zote ofisi za mabalozi zinajulikana kuwa ni "mawakala" wa kukusanya taarifa. Jibu utalipata kwa kuitambua taasisi inayohusika na kukusanya taarifaNje ya mada, je inawezekana kuwa Balozi wa Tz nje ya nchi usiwe TISS?
Wakati mko bize na Mh. Balozi Polepole mjue sie CCM tupo bize na mchakato wa Uchaguzi Mkuu! Tusijelaumiane huko mbele!!Mh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
Muda si mrefu kakurua bashiru ali nae analianshaMh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
Ndio Maana TL haogopi kufa au vipi?Hakuna mwanasiasa anaweza ogopa kufa ,akiingia kwenye huo mtego manake ameshindwa vita ya madaraka.