kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,764
- 3,940
Najiuliza sana,hivi yesu alikuwa mzungu au?Mkuu wamisionari walileta dini gani?
Najiuliza sana,hivi yesu alikuwa mzungu au?Mkuu wamisionari walileta dini gani?
Hawakuleta dini bali mafundisho ya dini hasa ukristoMkuu wamisionari walileta dini gani?
Dini kaleta nani
MyahudiNajiuliza sana,hivi yesu alikuwa mzungu au?
Basi kama ndo hivyo hata hao wazungu dini wameletewa.Myahudi
Kwa wayahudi kuna dini ya kiyahudi hakuna ukristoBasi kama ndo hivyo hata hao wazungu dini wameletewa.
Kwahiyo yesu hakuwa mkristo?Kwa wayahudi kuna dini ya kiyahudi hakuna ukristo
Alizaliwa kwenye dini ya kiyahudi na akakulia humo na akasali na kufundisha katika masunagogiKwahiyo yesu hakuwa mkristo?
Dini kaleta nani
Summarize kwa sentensi 2 muhimuKwa tuliopitia History of religion chuo ni mada ndefu kuileta nusunusu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuwa dini ya kikristoHaujajibu swali langu mkuu