Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 387
NIMEAMINI WANAHARAKATI WANATUMWA
this press release is rubbishhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! hawana akili hawa wanaharakati. wakiambiwa teteeni ndoa ya jinsia moja wanatetea! naichana hii ripoti.. shaa shaa shaaaaaaaaa
Tumia akili..walienda kwenye mkutano na mtu wa ikulu.ndipo yalipotokea hayo..it shouldn't even have been 'allegedly'..it should have been 'kidnapped and tortured by Tanzania Government secret service agents..'
Hivi mzinga wanauza SMG ? KAMA SIO...Kwa kuwa imesemwa SMG ilitumika katika utekahji,kitendo cha silaha zinazomilikiwa na serikali kutumika kwenye utekaji,moja kwa moja pasipo kumung'unya maneno'Serikali inahusika' moja kwa moja au kupitia watumishi wake...Usilete habari ya oooh hata majambazi wanazo,majambazi wa aina hiyo sio hao,majambazi wenye SMG wanatafuta fedha na si kujeruhi madaktari kwa kuongoza mgomo
Mijitu mingine bwana!
Hivi wewe kwa akili yako unategemea hawa waliomteka Dr.Ulimboka ni watu waliotumwa na ndugu zake wanaogombea shamba kweli???Mimi siyo mwanasheria lakini hata Mahakamani kuna kitu wanaita,''circumstancial evidences'' au ushahidi wa kimazingira. Huo tu unatosha kumtia mtu hatiani. Sasa hebu tuangalia mazingira ya kutekwa kwa Dr. Ulimboka: Kwamba alipigiwa simu na mtu wa serikali(siyo ndugu yake,jamaa au rafiki) kwamba wakutane Leaders Club.Wakti wakiongea wakaja wale jamaa(agents) wakiwa na silaha(not majambazi) yumkini ni plain cloth policemen au Usalama wa Taifa na wakadai wanamtaka Dr. ULIMBOKA TU. Kilichofuatia hapo tunakielewa mpaka kuja kuokotwa kwa Dr. Ulimboka toka msitu wa Mabwepande.
Lakini pia wakti wa harakati za kumfikisha Dr. Ulimboka pale MOI baadaye walimbaini askari mmoja akiwa CHOONI AKIWASILIANA NA WENZAKE SOMEWHERE KWA RADIO CALL AKIWAELEZA KUWA JAMAA(DR.ULIMBOKA) HAJAFA BADO ANAPUMUA!!!Hapa haihitaji hata akili ya kwenda kusomea sheria kila kitu kiko wazi. Kama ni askari Polisi uko kwenye kutimiza wajibu wako KWANINI UKAONGELEE CHOONI??Ni dhahiri hawa walikuwa Government AGENTS WALIOKUWA WAMEPEWA MAELEKEZO MAALUMU YA KWENDA KUMKAMATA NA KUMWUA HUYU DOC ILI KUMNYAMAZISHA KWA KIFO!!!Huo ni ukweli ambao kila mtu mwenye akili timamu atakubaliana nao.
Mimi kwa mawazo yangu ni kwamba tunataka haya 3 yafuatayo yafanyiwe kazi kwa haraka sana:
- Huyu kigogo wa Serikali aliyemwita Dr. Ulimboka wakutane Leaders Club ni nani na awe wa kwanza kukamatwa ili aisadie polisi.Huyu atakuwa anajua mchongo wote.
- Yule askari alyekuwa anawasiliana na wenzake kuwajulisha kuwa Dr. Ulimboka hajafa naye akamatwa kama yule kigogo.
- Kuundwe tume huru itakayohusisha pande zote mbili MADAKTARI,SERIKALI(POLISI)na KAMATI YA BUNGE YA HAKI ZA JAMII ili kufanya uchunguzi wa kina kabisa kuhusu sakata hili. Kama POLISI wataachwa peke yao washughulikie hili tatizo basi tusitarajie matokeo mazuri! Maana kama kweli kuna mkono wa serikali LAZIMA WATACHAKACHUA TU!We really know them.
Wasalaam.
Kama umeshindwa kuitisha hayo maandamano sasa hivi hata ungekuwa kwenye chama gani cha wanaharakati usingeitisha maandamano. Mtu uliyejificha nyuma ya monitor hauwezi ukatoa uchafu kama huo kwa huyu mama jasiri...!
Ujinga mtupu, sasa hapa kaongea nini? I thought she is calling for a mass movement against this barbaric deeds by the government! Yeye anatoa kauli ya kulaani? Tena anailaani serikali ya viziwi hii isiyo na hata tone la aibu? Huyu Bisimba naye anazeeka vibaya. Amenichefua tu hapa, sijaona la maana!
Hivi unaweza kusimama mbele za watu na kuanza kulaani matendo ya kichaa? Si utaonekana na wewe ni kichaa tu? Kama kichaa analeta kero mtaani kwenu chukueni hatua za ama kuchangishana hela mmpeleke milembe au mmhamishe mtaani kwenu.
Sasa Bisimba anapolaani vitendo vya serikali ya vichaa hii si anaonekana yeye ndiyo kichaa? Imeshalaaniwa na wangapi na kwa mangapi na hakuna chochote ilichorekebisha zaidi ya ubabaishaji usiokoma? To hell with vyama vya wanaharakati visivyo na meno hivi!
Ningekuwa mimi saa hizi ningekuwa naitisha countrywide demonstration against this brutal act bila kujali ni nani amefanya hilo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa watu wake na kama imeshindwa iachie ngazi. Period! Sasa analeta longolongo, ashakuwa mwanasiasa?
H1N1,
Unaijua SMG au unaisikia tu kijana?
Huyo aliyekwambia kama wahusika walikuwa na SMG ni nani? kama ungefahamu matumizi ya SMG wala usingesema hayo unayosema. Kama kuna mtu anasema hao jamaa walikuwa na SMG basi yeye nae anatakiwa atiwe hatiani maana inaonesha wakati Ulimboka anachukuliwa yeye alikuwa busy kukodolea silaha. Na kama ni ulimboka mwenyewe ameripoti SMG basi atakuwa amepata maumivu makali ya kichwa pengine na fahamu zake zinachanga habari , ukizingatia yeye ni daktari hana ujuzi wa mambo ya silaha hiyo habari ya SMG itakuwa kama ile ya waziri Malima aliyekutwa na Shot gun ya kuwindia.
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Hakuna mtu binafsi anayeweza kuorganize tukio kama hili..ww ndio pathetic. Matukio ya ugomvi wa familia na individuals ktk mazingira ya TZ yana picha tofauti na hii.Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!
Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Ndio mana wametumia maneno most likely na alleged..kwa maana nyingine ni prime suspect. Ww ungeambiwa sasa hivi kuchunguza tukio la Ulimboka ungeanzia wapi?mtanisamehe wakuu kwa kudgrug hii kitu ndefu.
Yangu ni haya.
1.je haya ndio matokeo ya utafiti/uchunguzi wa kisayansi waliofanya??
2.watuthibitishie kuwa ni kweli serikali imehisika maana kusema most likely to be state agents umejiridhisha vya kutosha.
3.ikija kubainika kuwa sio serikali hawa kina bisimba watajificha wapi?
4.bisimba anazungumziaje watanzania maskini wanaokufa kwa kukosa matibabu kutokana na mgomo wa madaktari
5.tunaomba academic qualifications zao ili tujue elimu yao kwani tamko hili halina hadhi ya watu waliosoma
6.watupe utaratibu waliotumia kuajiriwa kwani kwa shirika makini hasa haya ya haki za binadam wasingeweza kuajiri watu wanaokurupuka kwenye mambo kama walivofanya hawa kina bisimba
7.pole dr ulimboka
Madai ya msingi yapi yaliyotekelezwa na serikali? Si uwapeleke hao ndugu zako kwenye private Hospitals sasa wasife, unamlalamikia nani?
Ndio mana wametumia maneno most likely na alleged..kwa maana nyingine ni prime suspect. Ww ungeambiwa sasa hivi kuchunguza tukio la Ulimboka ungeanzia wapi?
Hakuna kitu kama hicho 'popote pale'..there should be a starting point which is determined by a series of events. Lakini sababu wengine mmetumwa hapa JF kuja kupiga propaganda na kujaribu kuleta theories za kizushi, you will write any **** kujustify ujinga wenu.popote pa kuanzia lakini sio kumtaja mtu mana ukishaanza kumtuhum mtu huku unachunguza unaharibu kila kitu.
naamini tunahitaji uchunguzi huru sio majibu ya kihisia