Human Rights' Press release on Dr Ulimboka

Kwa hiyo Unamaanisha CCM ndo wamempiga kwa kuwa kwao ni msaliti au? Sijaelewa CDM wamefikaje hapa kwenye mgomo wa madaktari

Ningependa iwe hivyo na nitasikitika kama itakuwa tofauti. CDM inaingia kwa kuwa waliwahi kutamka hadharani nchi haitatawalika. Na leo wakati wa maswali ya waziri mkuu bungeni Mh Martha Mlata alipoeleza kuna kikundi kipo nyuma ya mgomo viongozi wa CDM wakaanza kujishuku.
 
Ulimboka.jpg

Naomba watu wa LRHC mtoe tafsiri ya kiswahili ya PR hii. Kama mwataka tafsiri ya kiswahili mseme nitasaidia kisha muihariri na kuisaini kama hii.
 
Sasa mkuu ulitaka serikali wampe ving'ora na bodyguards?

Mkuu nafikiri ukweli unaujua, isipokuwa unachojaribu kufanya hapa ni kuendeleza ile kazi yenu ya kupotosha na kupima upepo. Wachungaji wa ng'ombe fikira zao ni majani ya ng'ombe, mifugo mbalimbali, fimbo za kuchungia na ufahamu wao huishia hapo. Mkuu avatar yako yenye tisheti na koti ni baadhi ya mavazi munayopenda sana kuyavaa. Tumekusikia, tumekuelewa, jambo la msingi ni kuwa tunashukuru mumemuacha salama.
 
Haya mambo bana, kila mtu ana tafsiri yake na uwezo wake wa kudadavua mambo. Si lazima kila unachokiamini wewe wengine pia wakikubali. Mimi nakubali harakati wa wana harakati na haki za binadamu. Lakani, nawiwa kusema kwamba, wamelalia sana mijini na pia wanapenda kudandia mada zinazokuwa na public attention (hata kama siyo public interest move). Swali dogo tu ambalo naona watu wengi wanalikimbia, KUNA MATATIZO MENGI SANA YANATOKEA, HAO HAKI ZA BINANDAMU NA WANAHARAKATI WANAKAA KIIMYAAAAAAAA, WALIMU WALIGOMA HAKUNA WALIYEWATETEA, WANANCHI HAWANA MAJI SAFI NA SALAMA, HAKUNA TAMKO LA MAANA. NACHELEA KUSEMA, SOMETIMES WASIWE WANALALIA SEHEMU YENYE PUBLIC ATTENTION ILI WA JUSTIFY MISHAHARA YAO HUKO KWA WAFADHILI. SOMETIMES NI UPUUZI SANA, NENDENI NA VIJIJINI MKAANGALIE WATU WANAVYOTESEKA NA KULETA HIZO THMINI ZENU ZA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU. KUMBEKENI, HAKI ZA BINADAMU NI DHANA PANA SANA, KWA HIYO WSIJIKITE KATIKA ISSUE AMBAYO WATASIKIA.

HIYO NI MOS, PILI, NAWAULIZA, WANAOSHADADIA MGOMO WA MADAKTARI, WAMEISHAKWENDA HOSPITALI KUUGUZA AU WAO WENYEWE KUUMWA KIPINDI CHA MGOMO. NINA WIWA KUSEMA, HAWAJUI WANALILISHABIKIA, MADAHARA NI MAKUBWA SANA KWA WANYONGE, NA NINA HISI WAO WANAUWEZO WA KWENDA PRIVATE HOSPITALS NDO MANA WANASHADADIA KWA SABABU YA UTASHI WA KISIASA.

lAKINI HII HAIMAANISHI KWAMBA MADAKTARI WASIPEWE STAHIKI ZAO, NI LAZIMA, NA SERIKALI YA CCM LAZIMA IWAJIBIKE. KAMA HAITAKI KAMA ALIVYOKATAA MH. WAZIRI MKUU MIZENGO KAYANZA PETER PINDA KAMA LAIVYOULIZWA NA MH. TUNDU LISSU, BASI WANANCHI TUNAKILA SABABU YA KUFANYA MAAMUZI KATIKA SANDUKU LA KURA. NA MADAKTARI LAZIMA WAUNGE MKONO HII MAKITU, USIJE KUONA WAO PIA BADA WANA MAKADI YA MAGAMBA!!!!!!
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?

Kumbe ndo mpango wenu kuja kukamata watu na kusema kuna ugomvi wa kifamilia kwa mashamba ya Mabwepande, nimekusoma mkuu. Taarifa moja tu ukumbuke aliitwa na nani toka Leader's Club na kwa hivyo inatosha kukueleza tu kama kuna harufu ya 'state agents'. Huyu jamaa wa kinyarukolo na jamaa aliyetoroka pahala pake kule Gombe akakutana na jamaa wa Magogoni ndo hivo tena wanaamrisha bila kuwaza kama madhara kwa taifa ni nini???? Endeleeni kuandaa hati miliki ya mashamba ya akina Ulimboka huko Mabwepande ili iwe ndiyo hongo yake maana mmekosea hajafa kwa hivo atajengewa nyumba huko kwa kitisho kuwa akisema hamtamwacha tena...tabia mbaya kupindukia.
 
Mtembea bure sio mkaa bure...ni heri mama Bisimba ameyasema haya, kuliko wale wanaomlaumu bila kutoa suluhisho!

Kwa mtazamo wangu, yeyote aliyefanya haya hasa kama ni state agency; basi itakuwa ni poor timing kwa sababu kwa mtazamo wa kimazingira; huo ni mkono wa Serikali...

Sasa kama ni Serikali; kwa nini mmefanya hivyo? hamuoni kuwa ni sawa na kuweka chumvi kwenye kidonda? Hamuoni kuwa ni sawa na kuwachochea madaktari kufanya mgomo zaidi? EEh Mungu uwawekee mkono wako wagonjwa wote wanaoathirika na mgomo wa madaktari kwa sababu ya upumbavu wa Serikali hasa katika kipindi hiki; wapate kupona!!!

Wala msihangaike kutafuta nani kafanya hivi au vile wale wanaomkumbuka raisi wa DARUSO jina lake KUSAJA katika mgomo wa udsm miaka si mingi iliyopita mtakumbuka pia alitekwa. Bahati yake hakupigwa kwa sababu aliwakubalia wakampeleka hotelini Sinza wakijua kuwa mgomo ungeisha...kilichotokea mgomo haukuisha na ikatolewa 'Press Release' ya kumtafuta rais wa DARUSO aliko...na baadae akaonekena akaendelea na shule kama kawaida na hatukuona 'Press Release' nyingine ya kusema amepatikana wapi na kwa mbinu zipi ila ikapotezewa tu hivyo hivyo ndo Bongo yetu. Ukiwa mwanaharakati ujiandae kuvaa ngozi ya chuma maana jamaa hawa wanadhani wenyewe wataishi milele.
 
Imepelea ingeenda deep like they broke his hand, leg, 3 teeth, ribs & severe cuts around the body.... in red color letters to show emphasis......
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?

Wewe ni mlevi kama walevi wengine. Ndio umetoka usingizini? hujui kilichotokea jana? ungeuliza kwanza mada ni nini. Mnafiki kama wanafiki wengine na mvivu wa kufikiri. Unapenda majibu rahisi kwa maswali magumu. Hujalazimishwa kuchangia, pamoja na kuwa una uhuru wa kusema
 
Kumbe shughuli kwenye msitu wa pande zimeanza muda mrefu sana,sasa mambo hadharani.....
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Afisa waliekuwa nae alijitambulisha anatoka ikulu, na ndie aliyewaita hao watekaji kuja kumtocha Dr Ulimboka, unabisha nini kama hawa hawakuwa state agents. Watu kama nyinyi Maundumula siku zenu zinahesabika, haya maovu mnayowafanyia wenzenu yana mwisho, muanze kutubu la sivyo mtalia, mtateswa zaidi ya hivyo mlivyomtesa Uli.
 
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.

Kalale usingizi maana kwako ni usiku. Kila mtu ana haki ya kuishi, hakuna mtu awaye yeyote, kwa nafasi yoyote aliyonayo, mwenye haki juu ya maisha ya mwingine. Madaktari waliingia mkataba na serikali hawakuingia mkataba na wananchi. Hata wao wana haki ya kuvunja mkataba, endapo waliyeingia naye mkataba anawanyayasa. Wewe ni mmoja kati ya wapumbavu wa mwisho, afadhali ungekuwa mjinga. Nyie ndio wale ambao ukipigwa shavu la kulia, unageuza la kushoto nalo lipigwe. Pigwa peke yako kibaraka mkubwa!!!
 
Kiinglishi? Sasa siye kina Kayumba?}
hii ni press release kwa Watanzania au kwa vibaraka wenu wanaowapa pesa za kuleta vurugu ili nchi isitawalike?....nyie wanaharakati nawachukia sana kwa uchochezi ili kupindua nchi.....mngeandika kiswahili mngekosa ni nini?...
 
Kumbe ndo mpango wenu kuja kukamata watu na kusema kuna ugomvi wa kifamilia kwa mashamba ya Mabwepande, nimekusoma mkuu. Taarifa moja tu ukumbuke aliitwa na nani toka Leader's Club na kwa hivyo inatosha kukueleza tu kama kuna harufu ya 'state agents'. Huyu jamaa wa kinyarukolo na jamaa aliyetoroka pahala pake kule Gombe akakutana na jamaa wa Magogoni ndo hivo tena wanaamrisha bila kuwaza kama madhara kwa taifa ni nini???? Endeleeni kuandaa hati miliki ya mashamba ya akina Ulimboka huko Mabwepande ili iwe ndiyo hongo yake maana mmekosea hajafa kwa hivo atajengewa nyumba huko kwa kitisho kuwa akisema hamtamwacha tena...tabia mbaya kupindukia.

Aisee! Kumbe ndo hao? Si mchezo basi
 
Afisa waliekuwa nae alijitambulisha anatoka ikulu, na ndie aliyewaita hao watekaji kuja kumtocha Dr Ulimboka, unabisha nini kama hawa hawakuwa state agents. Watu kama nyinyi Maundumula siku zenu zinahesabika, haya maovu mnayowafanyia wenzenu yana mwisho, muanze kutubu la sivyo mtalia, mtateswa zaidi ya hivyo mlivyomtesa Uli.

Afisa Inteligensia hawezi kujitambulisha kijingajinga namna hiyo. Kama serikali ingetaka kummaliza huyo daktari zipo njia nyingi mbadala na sio kutuma mpuuzi ajitambulishe "eti natoka ikulu". Mimi nishakutana na matapeli wengi wamevaa suti wanajifanya wanatoka Ikulu mwisho wa siku unagundua ni vibaka uchwara.

Mazungumzo gani ya muhimu baina ya muwakilishi wa Ikulu na Kiongozi wa madaktari yanafanyika bar? Huyu daktari Ulimboka nadhani ana tatizo kubwa sana la kibinafsi he needs to come clean!
 
Binadamu wote ni sawa tuache mawazo ya zimamoto wangapi wameuawa kikatili inji hii ukiacha mbali maalbino leo kwakua ni Dr ndio mnashtuka kweli watz mm ndugu yangu ameuawa wk iliyopita tu moro lkn had leo kimya tuache mawazo ya zimamoto msisubiri hadi auawe profesa
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?

Wa TZ wabinafsi na wanafiki.
Leo kwa Dr kesho yaweza kuwa kwako.
 
Ujinga mtupu, sasa hapa kaongea nini? I thought she is calling for a mass movement against this barbaric deeds by the government! Yeye anatoa kauli ya kulaani? Tena anailaani serikali ya viziwi hii isiyo na hata tone la aibu? Huyu Bisimba naye anazeeka vibaya. Amenichefua tu hapa, sijaona la maana!

Hivi unaweza kusimama mbele za watu na kuanza kulaani matendo ya kichaa? Si utaonekana na wewe ni kichaa tu? Kama kichaa analeta kero mtaani kwenu chukueni hatua za ama kuchangishana hela mmpeleke milembe au mmhamishe mtaani kwenu.

Sasa Bisimba anapolaani vitendo vya serikali ya vichaa hii si anaonekana yeye ndiyo kichaa? Imeshalaaniwa na wangapi na kwa mangapi na hakuna chochote ilichorekebisha zaidi ya ubabaishaji usiokoma? To hell with vyama vya wanaharakati visivyo na meno hivi!

Ningekuwa mimi saa hizi ningekuwa naitisha countrywide demonstration against this brutal act bila kujali ni nani amefanya hilo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa watu wake na kama imeshindwa iachie ngazi. Period! Sasa analeta longolongo, ashakuwa mwanasiasa?

Kwel haya matamko bila actions ni kazi bureeeeeeeee tu .tatzo wanataka kuwaridhisha donors tuuuuuu na tamko lenyewe limewekwa kingereza..
 
Back
Top Bottom