Shida ya Hellen ni mapenzi ya kisiasa na chama fulani hili tangazo lipo biased. Mfano unapotuhumu kuwa hao waliofanya ni allegedly state agents anazo taarifa na vithibitisho kuwa kweli ni wao? Vile vile unaposema wao state agents haoni kama anaharibu uchunguzi wa kipolisi? Vile vile Legal and Human Rights Centre inahusiana na nini na kuboreshwa na sekta ya afya? Mbona hajahoji mabilioni serikali inalipa makanisa kwa kutumia MOU na hospitali na bado huduma ni gharama za juu? Mbona hajahoji babu wa Samunge na dawa yake ya kitapeli ambayo imeua wengi kudai uchunguzi wa kina?
Kupigwa kwa Dr Ulimboka kuna jambo limefichika na time will tell. Ila waliofanya hicho kitendo wamesahau kuwa Tanzania ya sasa si ya zamani watu wengi waelewa sana na hawakurupuki kwa jazba na kudanganywa. I will not be amazed watakapokuja kukufahamika wahusika wengi wenu hapa jamvini mtakimbia kwa aibu na haya kuwa mlichotaka kutaka kupindua serikali ya JK hakijafanikiwa. Hadanganywi mtu hapa!!!!!