Human Rights' Press release on Dr Ulimboka

Kama ni shamba kwanini iwe kipindi hiki cha mgomo wa madaktari?.ccm wenzio wamesitisha uamuzi wao waliotegemea kuutoa leo bungeni,wameogopa reaction ya umma.Any way, hata waliofanya kitendo hicho nao wanaweza kuchangia uzi huu ili ku-fake the all issue.

Pengine lengo ni ku divert attention.

Hata kama wewe mtu amekuudhi hujamwambia, halafu huyo huyo mtu akawa amegombana na mtu mwengine akachukua RB polisi unaweza kuitumia hiyo nafasi kumsulubu na kesi isije kwako kwakuwa wanajua adui wa simba ni Yanga. Msimbazi kukiwaka moto makao makuu ya Simba yakiungua maandamano yote Jangwani hata kama wamechoma Azam FC.
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?

Ndugu zake ulimboka Bunduki watoe wapi?
 
Kama umeshindwa kuitisha hayo maandamano sasa hivi hata ungekuwa kwenye chama gani cha wanaharakati usingeitisha maandamano. Mtu uliyejificha nyuma ya monitor hauwezi ukatoa uchafu kama huo kwa huyu mama jasiri...!

Laiti ningekuwa na mamlaka ya kufanya hivyo, kwa hakika ningeitisha maandamano na si hizi blabla za akina Bisimba. Kwa utaratibu huu unadhani ni nani mwingine atakeyejitolea tena kuikosoa serikali if at all utaishia kuuawa, na waliobaki huku nyumba watakukumbuka kwa kutoa tamko tu, huku familia yako ikiteseka kwa kukosa malezi ya baba?

Hapa ndipo ambapo huwa nasema kupigania haki za watanzania ni kama uendawazimu maana unapigania haki za watu mambumbu wasiojua haki zao, at the end of the day, wewe ndo unaonekana mpuuzi. Ndiyo kama hili sasa. Huyu jamaa anasimama kidete kudai mazingira mazuri ya kazi ili waweze kutoa huduma nzuri kwa watanzania, lakini serikali inapoamua kumvictimize, wanaharakati wanatoa tamko la kulaani. Sasa hili tamko lina impact gani? Damu aliyoimwaga Ulimboka kwaajili ya watanzania imefidiwaje hapa?

Ndiyo maana nasema huu ni upuuzi usiomithilika kwa vyama makini vya kutetea haki za binadamu kutoa matamko ya reja reja kiasi hiki.
 
Dr.Bisimba,this abuse and harrasement it is normal to our country,WHERE are Gilman Rutihinda,Horace Kolimba,Kombe,Malima etc,but this remind me about the death of the late John Rutaisingwa-JAMHURI YA UKENGE
DR BALALI ? DR MWAKYEMBE? MACHALI (MP)? , KIWIA (MP)?, nafkiri tunakaribia kuzoea haya matukio sasa.
 
Haswa hata mie nimeshtuka kidogo nilipofika hapo, but may be wanao ushahidi wa kutosha ndo mana wamekuwa jasiri!.

Hivi Tamko la ku-condemn ukosefu wa huduma kwa wagonjwa wetu ili kuiwajibisha serikali lilitoka lini?

MwanajamiiOne,

Hayo matamko huwa hawatoi, wao wameshaambiwa adui wao namba moja serikali. Wakiisema serikali vibaya ndio misaada inamiminika kutoka kwa wafadhili.
 
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.

Na wewe unatia kinyaa sana kama avatar yako kwa kuwa kibaraka wa mafisadi papa yenye mabilioni huko uswiss.
 
Haswa hata mie nimeshtuka kidogo nilipofika hapo, but may be wanao ushahidi wa kutosha ndo mana wamekuwa jasiri!.

Hivi Tamko la ku-condemn ukosefu wa huduma kwa wagonjwa wetu ili kuiwajibisha serikali lilitoka lini?

Naomba kuku uliza kama una elimu ya sheria. Me naona kuna uhusiano kabisa na serikali na huyo mtumishi wa ikulu atasaidia polisi(CCM). Duu yani mpaka naona ni mchezo wa kuigiza.
 
Ukweli utajulikana tu..wawe State Agents au wawe uknown indivuduals...
 
Ndugu zake ulimboka Bunduki watoe wapi?

Zinauzwa madukani kama pipi hata wewe ukitaka kesho unaenda kununua, ukifuata taratibu unapata.

Jiulize kwanza majambazi bunduki wanatoa wapi? kwani ni lazima mtu mwenye kisasi na mwenzake aende front mwenyewe si anaweza kutuma watu?
 
Ndiyo kama hili sasa. Huyu jamaa anasimama kidete kudai mazingira mazuri ya kazi ili waweze kutoa huduma nzuri kwa watanzania, lakini serikali inapoamua kumvictimize, wanaharakati wanatoa tamko la kulaani. Sasa hili tamko lina impact gani? Damu aliyoimwaga Ulimboka kwaajili ya watanzania imefidiwaje hapa?

Sasa wewe ulitakaje? Wakae tu kimya bila kutoa tamko lolote lile kulaani alivyofanyiwa bwana Ulimboka?

Ndiyo maana nasema huu ni upuuzi usiomithilika kwa vyama makini vya kutetea haki za binadamu kutoa matamko ya reja reja kiasi hiki.

Toa basi pendekezo la nini wangefanya au nini wafanye.
 
Umepost sana kwenye server ya JF sasa ni wakati wa kuchangia tokea umejiunga 20-june- 2011 hujatoa hata cent hapa wewe gamba

Ni kweli mkuu ila modes za kuchangia ndio kikwazo kikubwa kwangu. Nataka kuendelea kubaki anonymous sasa haya mambo ya kutumia M-PESA na huduma nyingine kama hizo au kutumia akaunti yangu naona kama ntaji expose.
 
Zinauzwa madukani kama pipi hata wewe ukitaka kesho unaenda kununua, ukifuata taratibu unapata.

Jiulize kwanza majambazi bunduki wanatoa wapi? kwani ni lazima mtu mwenye kisasi na mwenzake aende front mwenyewe si anaweza kutuma watu?

Siwezi kujiuliza maswali ya kipumbavu kwa sababu mimi sio mpumbavu! hizo scenarios kawauzieni walima korosho kule nanyumbu wala wanaweza kuwaelewa!
 
Madai ya msingi yapi yaliyotekelezwa na serikali? Si uwapeleke hao ndugu zako kwenye private Hospitals sasa wasife, unamlalamikia nani?

we nawe mkuu mbona uunajibu kama mama wa kambo tena mwenye mtoto wa ngama
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?

Tumia akili..walienda kwenye mkutano na mtu wa ikulu.ndipo yalipotokea hayo..it shouldn't even have been 'allegedly'..it should have been 'kidnapped and tortured by Tanzania Government secret service agents..'
 
Na wewe unatia kinyaa sana kama avatar yako kwa kuwa kibaraka wa mafisadi papa yenye mabilioni huko uswiss.

Yaani miaka inakwenda ninyi bado mnaimba nyimbo zile zile, leteni hoja nyingine tumekwisha elewa ufisadi na tunajua ninyi sio mafisadi sasa tuongelee kipigo stahili alichokipa yule msaliti wa masikini Dr Ulimboka.
 
Naomba kuku uliza kama una elimu ya sheria. Me naona kuna uhusiano kabisa na serikali na huyo mtumishi wa ikulu atasaidia polisi(CCM). Duu yani mpaka naona ni mchezo wa kuigiza.
Ah ndugu yangu elimu yenyewe ya ngumbaru sheria ntaijulia wapi? Mie nimeuliza tu kama ni sawa walivyoweka 'hadharani na kituhuma" kihivyo kwani hata uhusiano uliwepo lakini bila kuwa na kidhibiti si inawezawageukia? (Ndio maana nikasema pengine wanao ushahidi)

Sijui sheria mie ila nimedesea kisa cha Ray na Mange Kimambi alivyotaka kumshtaki kutokana na kumuhusisha na kifo cha marehemu Kanumba.
 
NIMEAMINI WANAHARAKATI WANATUMWA
1- Kwa nini wanatumia kiingereza kutoa press release yao kama siyo kuwafahamisha wafadhili wao wzungu? sidhani kama wanatufahamisha sisi watanzania.

2- kwa nini wanasema kuwa pana uwezukano mkubwa atakua ameadhibiwa na vyombo vya serikali. sasa kama wameamua polisi na mahakama zifanye kazi gani?

3- kwa nini hawajawaomba medicla proffessionals (madaktari) kusitisha mgomo? la kushangaza WANAIOBMA SERIKALI IHAKIKISHE ULI ANAPEWA HUDUMA BORA YA TIBA. makubwa!!!!!!!!!!!!!!

this press release is rubbishhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! hawana akili hawa wanaharakati. wakiambiwa teteeni ndoa ya jinsia moja wanatetea! naichana hii ripoti.. shaa shaa shaaaaaaaaa
 
Too barbaric, uncultured, incorrigible, an eyesore on our country's leadership and un-Tanzanian a worst!!!

I am more than furious, saddened and feels MOST ashamed by this kind of DEMAGOGIC AND CHEST-THUMBING act that had to be cowardly be visited on activist Dr Stephen Ulimboka.

This is the biggest shame in our country's history in the world of human rights protection, social justice enhancement and utter departure from the tenets of good governance.

W demand to see justice done, we want to see accountability and we want to see heads rolling in highest offices in the land. I mean we CANNOT TAKE anything like this anymore!!!!!

No one must dream of taking our country the Al Assad route this easily because we are NOT willing to take that kind of path unless it ultimately becomes the only way out of this totalitarian rule, mass-killing of citizens in the dark and stashing of billions of money both in Swiss and Middle East 'safe-heavens'

My heart is furiously bleeding for the people maimed by agents of doom so far, Mabwepand being turned into some sort of official human slaughter house in the country!!

And with all these atrocities, the dicenting voices in the country does NOT even seem to be backing up an inch on their legitimate demands.

Swali kubwa sana hapa ni kwamba baada ya kumfanyia Dr Ulimboka hayo yote, je sasa hivi Madaktari wako kazini wanachapa kazi shwari kwa kuwa mbaya Ulimboka keshasulubiwa kutokana na msimamo thabiti kutetea kile anachokiamini????????????

All in all, freedom is COMING SOON to Tanzania in a totality never seen before.
 
Back
Top Bottom