Human homo nature

Human homo nature

Nina masomo mengi ya kuwasilisha humu ila sasa ndugu zangu tuwe na ustaarabu ili hata tunapoeleweshana watu angalau watoke na kitu flani,ila si kuibuliana mada tofauti na mada lengwa iliyopo hii itatufanya tuishie kulumbana na visivyo na maana ndio maana ukifutilia nyuzi nyingi zinatowekea pasipo kuwa na mlolongo stahiki wala muafaka lengwa sasa kila mtu humu anaanzisha swali lake hivi kutaeleweka kweli?? Watz hebu tuwe wastaarabu mabraza na kina dada tuwe wastaarabu mdogo wenu najitaidi kushare nanyi kitu cha utofauti kidg angalau tujitambue kidg natumai mmenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kusoma sijaelewa.

Hivi hizi habari huwa mnazipata wapi ? Na mnahakikishake kuhusu ukweli wa habari hizi ?
Unaweza kuelewa kabisa endapo utakuwa na utulivu hizi taarifa ziko hided sana na pia ziko wazi sana...maficho yake ni matazamio ya kijinga kwa muonekano wake...

taarifa hizi zinapatikana kwenye vitabu na kufikiri nje ya box(code mind programing)..unaweza ziona ama kuzisoma na ukatoka kapa lazima angalau uwe na nyenzo kiduchu kama nilivyokwisha kutaja hapo...au kwa njia nyingine uwe na psychic knowledge ambayo kwa elim zetu hakuna....

Achana mimi kutokuelewa hizo habari,hapa nina swali la msingi mnawezaje kujua ukweli wa hizo habari ? Yaani zina ukweli kiasi gani na kwa marejeo gani ?

Nipo ....
 
OK,naomba using'ang'anie dhana ya UKWELI kutoka kwangu tambua kuwa Ukweli unaweza kuwa uwongo na uwongo unaweza kuwa Ukweli,na maana halisi ya Ukweli ni mapokeo ya akili yako ww jambo lolote lile kwa dhati na ndiyo maana kila mtu ana aaminicho so. kinachohitajika hapa kuwa na uwelewa wa haya mambo ndio maana nikaomba lazima uwe smart hapo kichwani mwako.

Tangu dunia iumbwe ukweli haujawahi kuwa na sifa ya uongo,ukweli hauwezi kuwa uongo wala uongi haujawahi kuwa ukweli,sababu uongo ni kinyume cha ukweli.

Ni makosa ukweli kuupa au kuuarifisha kwa tamko "dhana" sababu ukweli ni hali halisi.

Nilichokiona kwako na ndio ukweli wenyewe ni kushindwa kwako kuonyesha ukweli wa hizo habari. Sifa moja miongoni mwa sifa za ukweli ni kuwa unamea popote,hauhitajiki kuwa smart sana kama unavyodai ili kuzielewa habari hizo. Habari kwa zenyewe zina ukakasi seuze kueleweka ?

Huu nakupa mfano rahisi sana,ukweli kuhusu uwepo wako kamwe hauwezi kuwa uongo wa kutokuwepo maadamu ni kweli wewe upo,unaishi.

Lakini swali langu rahisi sana,nililo uliza ni kupata uhakika wa ukweli juu ya habari hizi,hili halihitaji nguvu hata kidogo.

Nipo .....
 
Elewa kwanza uwongo waweza kuwa Ukweli na Ukweli ukawa uwongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom