Human homo nature

Human homo nature

Naona unaleta maana dhaifu ya kisayansi hasa biology.

Hapa kabla sijafika mbali. Hivi ukimuuliza mtu wa sayansi ya viumbe. Tofali ataliweka katika kundi gani ?

Hakuna kiumbe ambacho si hai na huu ndio usahihi.

Lakini ajabu mgawanyo wako hata lugha inaukataa. Hivi kuna lugha yoyote inayotambua magari,kiatu na mfano wake kama kiumbe ?

Nipo ....
Yap magari mbona ni viumbe visivyo hai kwani hilo linakupa shida gani kulijua??

Sifa za viumbe visivyo hai inamaana huzijui?? Mifano ya viumbe visivyo hai nayo huijui unajua habari za madrsa tu

Nukikwambia gari lipo kundi gani kati ya living things au non living things utanijibu kua gari halipo kwenye kundi lolote kati ya hayo mawili????

Swali langu ni je Mungu wako yuko kwenye kundi lipi kati ya hayo mawili?

Sent using unknown device
 
Mwenyewe umenena vema kuwa ni habari za kale

Sasa kitu kishakuwa Cha kale tena unaniuliza jina la kitabu na muandishi wake_kweli...! Tena na tarehe Kama nilikuwepo vile..!

Hivi unauliza maswali yako kielimu kweli..! Au unanikomoa..!Hivi huko zamani kulikuwa na na utaratibu wa copyright za waandishi...!?

Swali la kizushi Je wewe unaijua tarehe rasmi ya uzinduzi wa kitabu chako kitakatifu...?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tarehe ipo na mwaka unajulikana. Kusema habari za kale haimaanishi hazikudhibitiwa na swali langu lina maana sana,ili tuweze kujua pumba ni zipi na mchele ni upi.

Mimi ukinipa muda wa kukupa siku na mwaka ambao Qur'aan ilikusanywa na kuwa kitabu nitakuletea.

Sasa naomba unipe jina la muandishi na tarehe.

Nipo ....
 
Yap magari mbona ni viumbe visivyo hai kwani hilo linakupa shida gani kulijua??

Sifa za viumbe visivyo hai inamaana huzijui?? Mifano ya viumbe visivyo hai nayo huijui unajua habari za madrsa tu

Nukikwambia gari lipo kundi gani kati ya living things au non living things utanijibu kua gari halipo kwenye kundi lolote kati ya hayo mawili????

Swali langu ni je Mungu wako yuko kwenye kundi lipi kati ya hayo mawili?

Sent using unknown device
Nimekuachia hilo swali,nenda kamuulize mwalimu wako au mtaalamu wa elimu ya viumbe.

Swali lako nilishajibu huko awali,na hapa napigilia msumari ya kuwa Mola wangu hana sifa ya kiumbe kwani yeye ndio ameumba.

Nipo ...
 
Swali la kizushi Je wewe unaijua tarehe rasmi ya uzinduzi wa kitabu chako kitakatifu...?

Hili la msingi,nilisahau kitabu changu hakikuzinduliwa hili ni neno jipya,bali kitabu changu kilikusanywa na kuwekwa pamoja na kuwa kitabu kamili.

Nipo ....
 
Nimekuachia hilo swali,nenda kamuulize mwalimu wako au mtaalamu wa elimu ya viumbe.

Swali lako nilishajibu huko awali,na hapa napigilia msumari ya kuwa Mola wangu hana sifa ya kiumbe kwani yeye ndio ameumba.

Nipo ...
living things include people, cats, rabbits, bugs, lions, and many others. There are many different kinds of plants, too. Plants can include dandelions, grass, corn, tomatoes and much more.

Non-living things include things that do not need food, eat, reproduce, or breathe. A car does not eat or grow. It does not move unless a person is driving it. It does not need air to breathe and it has no sense. It is a non-living thing

Sent using unknown device
 
Nimekuachia hilo swali,nenda kamuulize mwalimu wako au mtaalamu wa elimu ya viumbe.

Swali lako nilishajibu huko awali,na hapa napigilia msumari ya kuwa Mola wangu hana sifa ya kiumbe kwani yeye ndio ameumba.

Nipo ...

Nakubadilishia swali

Does your God a living thing or non living thing?

Sent using unknown device
 
Hili la msingi,nilisahau kitabu changu hakikuzinduliwa hili ni neno jipya,bali kitabu changu kilikusanywa na kuwekwa pamoja na kuwa kitabu kamili.

Nipo ....
Kumbe una Akili

Sasa kupitia muda uliotumika Katika ukusanyaji wa taarifa kutokutambulika_je unahisi kumebatilisha maana ya ujumbe au kufanya kitabu kutilliwa Shaka..?

Swali la nyongeza...Je ni Nini kilichokupelekea uamini taarifa iliyomo kwenye kitabu chako kuwa ni moja na sahihi..?

Na anza na swali la pili sababu swali la kwanza sijalielewa,utanielewesha.

Kitabu changu historia yake iko wazi na imeshikamana na Mola wetu mlezi alisha ahidi ya kuwa atakilinda kitabu hiki kutokamana na kuongezwa au kupunguzwa maneno,ndio Allah aliye juu akasema "Hakika sisi tumeutersha ukumbusho (Qur'aan) na hakika sisi tutauhifadhi."

Nipo .....
 
Sasa kupitia muda uliotumika Katika ukusanyaji wa taarifa kutokutambulika_je unahisi kumebatilisha maana ya ujumbe au kufanya

Kutokutambulika kwa muda ni sababu kubwa ya kutilia shaka kile kilicho andika na kukibatilisha pia,bali kukipuuza.

Kwenye misingi ya kuhakiki habari huu ni msingin mama pia. Vipi tutapata uhakika wa kitabu hicho kama habari zake muhimu hazitambuliki ?

Tafakari.

Nipo ....
 
Na anza na swali la pili sababu swali la kwanza sijalielewa,utanielewesha.

Kitabu changu historia yake iko wazi na imeshikamana na Mola wetu mlezi alisha ahidi ya kuwa atakilinda kitabu hiki kutokamana na kuongezwa au kupunguzwa maneno,ndio Allah aliye juu akasema "Hakika sisi tumeutersha ukumbusho (Qur'aan) na hakika sisi tutauhifadhi."

Nipo .....

Hilo swali la Kwanza hujalielewa au limekuzidi Umri...!

Hilo la pili lenyewe unajitutumua tu_Nataka unijibu wewe sio umtwishe mzigo Mungu wako sijui kuwa kaahidi Nini.....!

Narudia_ikiwa huwepo wakati hayo matukio yanafanyika ya ukusanyaji wa hizo taarifa ni Nini kinakupelekea kuichukuliia taarifa kuwa ni moja na sahihi...?

Na kwanini unatushupalia na kutukazia shingo sisi tunaoamini taarifA Kama zako..? Au kitabu chako mwenzetu kina jina la Muandishi..!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokutambulika kwa muda ni sababu kubwa ya kutilia shaka kile kilicho andika na kukibatilisha pia,bali kukipuuza.

Kwenye misingi ya kuhakiki habari huu ni msingin mama pia. Vipi tutapata uhakika wa kitabu hicho kama habari zake muhimu hazitambuliki ?

Tafakari.

Nipo ....
Wa kupuuzwa ni wewe na kitabu chako_jina la muandishi wa kitabu chenu unamjua..? Au Muda na siku kilipokamilika unafahamu..?

Hata ukilita tarehe bado kutakuwa na mushkeli wa karenda mnayotumia_tabu tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo swali la Kwanza hujalielewa au limekuzidi Umri...!

Hilo la pili lenyewe unajitutumua tu_Nataka unijibu wewe sio umtwishe mzigo Mungu wako sijui kuwa kaahidi Nini.....!

Narudia_ikiwa huwepo wakati hayo matukio yanafanyika ya ukusanyaji wa hizo taarifa ni Nini kinakupelekea kuichukuliia taarifa kuwa ni moja na sahihi...?

Na kwanini unatushupalia na kutukazia shingo sisi tunaoamini taarifA Kama zako..? Au kitabu chako mwenzetu kina jina la Muandishi..!?

Sent using Jamii Forums mobile app

La kwanza nimeshalijibu na pili kadhalika.

Huu ni ufafanuzi kwa kile nilichokiandika. Katika jibu la swali la pili nilisema ya kuwa historia ya kitabu changu imeshikamana yaani inajulikana. Soma historia ya ukusanyaji wa Qur'aan utaona,na vitabu viko vingi vilivyo elelezea historia ya ukusamyaji wa Qur'aan na kuna makala kibao zipo.

Usahihi wa habari hizo yaani Qur'aan unajulikana kupitia nukuu za kihistoria na wapokezi madhubuti na usahihi wa Qur'aan pia unaptaikana kwa yale yaliyomo ndani yake.

Mimi sikuwepo lakini habari zimetufikia,Qur'aan si kitabu cha mtu binafsi mpaka ukute jina la muandishi bali matini ya Qur'aan yamekusanywa na kuwa kitabu baada ya makubaliano ya maswahaba aa mtume juu ya hilo. Soma historia ya ukusanyaji wa Qur'aan utakutana na haya.

Nasubiri majibu ya maswali yangu juu ya ukweli wa hao Ananak (Siwaju vizuri).

Nipo .....
 
Wa kupuuzwa ni wewe na kitabu chako_jina la muandishi wa kitabu chenu unamjua..? Au Muda na siku kilipokamilika unafahamu..?

Hata ukilita tarehe bado kutakuwa na mushkeli wa karenda mnayotumia_tabu tupu

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona unatafuta pakutokea na hautapoana. Kalenda yetu haijikanganyi na kama wewe ni mkweli leta ukosoaji wako.

Nataka unipe habari za hao Ananak mmezipata wapi ?

Huna jipya wewe

Karne ya 21 ya sayansi na teknolojia una Device ya kuingi JF lakini unashindwa kutafuta habari nyepesi za Anunnaki..!

Labda mwenzetu unaishi Karne ya 6_ila ngoja niangalie library yangu yawezaka ni Hardcopy ya ngozi ya Ngamia juu ya Origin ya Anunnaki nikiipata nitakutumia

Nasubiri.
 
nimeona neno 'homo' nikastuka kidogo, nikajua anajadiliwa Ray Beybe
 
Mola wangu ni hai na yeye ndio ameumba uhai na kifo.

Nipo ....
Kama mola wako ni hai basi ni kiumbe hai

Tukija kwenye sifa ya kiumbe hai ni lazima kile kinywe, kinye, kiongezeke, kijongee, kizeeke hatimae kife

Kwaiyo hizo ni sifa ambazo kila kilicho hai lazima kipitie

Hii sio kweli. Mola wangu yeye ndio ameumba uhai na hana sifa za kiumbe sababu sifa zake yeye ni kamilifu.

Naona unaleta kanuni dhaifu za ki logic. Kama A ni ally na B ni ally,basi A ni B. Huu utoto tuliuacha zamani. Tunajadili uhalisia wa mambo.

Kiumbe sharti kiwe kimeumbwa na Mola wangu hajaumba bali ameumba.

Nipo ....
 
Back
Top Bottom