Human homo nature

Human homo nature

Tuliumbwa na Anunnaki, Lyrans na Igiggi na Anunnaki wamekuwa na sisi chini ya ufuatiliaji wa kila siku kwa miaka takribani 500,000 kutoka kwa nchi yao ya Ashtari (pia inajulikana - kwa uongo - kama Nibiru) kupitia kifaa kinacho julikana kama Miraya.

Greys, Zeta Reticulan wamekuwa wakiishi chini ya ardhi na chini ya maji duniani kwa mamilioni ya miaka na sio wapo kwa ufuatiliaji, lakini pia wamekamilisha mpango wa uchanganuzi wa human homo na Greys ambao ni tatizo kubwa kwa human homo (na sababu kuu ya kurudi kwa Anunnaki miaka ya karibuni,sababu kuu ni kutaka kuondoa ulimwengu wa Grays mara moja na kwa wote.)

Aina nyingi za wageni hutumia moja au zaidi ya viungo vya 70 vinavyotambulika kwa dunia ambavyo hujulikana kama ba'abs kusafiri hadi pointi mbali mbali na ulimwengu huu,mfano halisi wageni sumbufuba aina ya greys...

Wakati wa safari hizi zinazohusiana na usafiri, wa vyombo tofauti,kama wanyama,wadudu n.k. inawezekana kwamba "hututazama kwa kila matendo pasipo sisi kugundua,human homo ni aina ya chini zaidi ya utashi kulinganisha wageni aina ya greys katika ulimwengu huu, kwa hiyo hatuna kitu chochote cha kuzuia aina yoyote ya mgeni anayeweza kusafiri kati ya stellar / inter-dimensional.

Na bila shaka kuna "viumbe vingi" katika vipimo vya 4, 5, 6 na nk nk (yaani, kile tunachokiita kama "mbinguni") ambao wana uwezo wa kutuangalia wakati wowote wanataka tuweje n.k lakini wanahusika sana na human homo ( na aina nyingine za maisha ya akili)......

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimejaribu kusoma sijaelewa.

Hivi hizi habari huwa mnazipata wapi ? Na mnahakikishake kuhusu ukweli wa habari hizi ?
 
Hizi habari tunapata kwenye vitabu

Na ushahidi unaofanana na ule mnaotumia kuamini kuwa Mungu wenu Yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie vitabu ulivyosoma hizi habari.

Usilinganishe elimu na wasi wasi.

Nasubiri jina la vitabu,mwaka na waandishi wa hivyo vitabu.

Nipo ....
 
Wewe Mungu wako kaumbwa na Nani....?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mola wangu hana sifa ya kuumbwa,yeye ndio ameumba.

Sasa nataka uongee au kuandika kielimu,hizo habari za Anunak zimeanza kusikika lini na ni nani wa mwanzo kuwaelezea hao Anunak ? Je wamejielezea wemyewe au wameelezewa na wasio kuwa wao ?

Nipo ....
 
Nitajie vitabu ulivyosoma hizi habari.

Usilinganishe elimu na wasi wasi.

Nasubiri jina la vitabu,mwaka na waandishi wa hivyo vitabu.

Nipo ....
Kwani lazima habari hizi ziwe zimeandikwa kwenye vitabu kwanini usifikirie nje ya hapo?

Sent using unknown device
 
Mola wangu hana sifa ya kuumbwa,yeye ndio ameumba.

Sasa nataka uongee au kuandika kielimu,hizo habari za Anunak zimeanza kusikika lini na ni nani wa mwanzo kuwaelezea hao Anunak ? Je wamejielezea wemyewe au wameelezewa na wasio kuwa wao ?

Nipo ....
Ikiwa kama nao annunak hawana sifa ya kuumbwa utasemaje?

Sent using unknown device
 
Kwani lazima habari hizi ziwe zimeandikwa kwenye vitabu kwanini usifikirie nje ya hapo?

Sent using unknown device

Hakuna kufikiria nje ya hapo katika hili. Hizi ni habari za kale,huwezi kusema umesimuliwa kwa mtiririko mpaka kukufikia wewe bila kuwekwa kwenye maandishi.

Namsubiri nilie muuliza hili swali,huenda ameelewa swali na kulitafakari.

Kwani hayo maandishi ukiletewa utatumia vipimo gani kuyagundua kama ni kweli?

Sent using unknown device
 
Haiwezekani wakawa wameepukana na sifa ya kutokuumbwa sababu wao ni viumbe.

Elimu ilishaandikwa,hapa nasubiri habari zao kwa mtoa mada au mwenye kuwajua.

Nipo ....
Kuna kitu ambacho sio kiumbe?

Sent using unknown device
 
Viko vingi sana ambavyo sio viumbe.

Gari,kiatu,mpira,nguo,taa,mkasi na vinginevyo.

Nipo ....
Mbona hivyo vyote ni viumbe

Sikia kuna makundi mawili ya viumbe
1. Viumbe hai
2. Viumbe visivyo hai

Sasa hayo magari na vinginevyo ulivyovitaja vinaingia hapo kwenye kundi namba mbili

Sasa je mungu wako yuko kundi lipi kati ya hayo mawili?

Naona unaleta maana dhaifu ya kisayansi hasa biology.

Hapa kabla sijafika mbali. Hivi ukimuuliza mtu wa sayansi ya viumbe. Tofali ataliweka katika kundi gani ?

Hakuna kiumbe ambacho si hai na huu ndio usahihi.

Lakini ajabu mgawanyo wako hata lugha inaukataa. Hivi kuna lugha yoyote inayotambua magari,kiatu na mfano wake kama kiumbe ?

Nipo ....
 
Hakuna kufikiria nje ya hapo katika hili. Hizi ni habari za kale,huwezi kusema umesimuliwa kwa mtiririko mpaka kukufikia wewe bila kuwekwa kwenye maandishi.

Namsubiri nilie muuliza hili swali,huenda ameelewa swali na kulitafakari.

Nipo ....

Mwenyewe umenena vema kuwa ni habari za kale

Sasa kitu kishakuwa Cha kale tena unaniuliza jina la kitabu na muandishi wake_kweli...! Tena na tarehe Kama nilikuwepo vile..!

Hivi unauliza maswali yako kielimu kweli..! Au unanikomoa..!Hivi huko zamani kulikuwa na na utaratibu wa copyright za waandishi...!?

Swali la kizushi Je wewe unaijua tarehe rasmi ya uzinduzi wa kitabu chako kitakatifu...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom