Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

Aliyekuwa kamishna msaidizi wa polisi anyongwe tu inanuma kuwaua watu bila kosa tena ndugu hafai kuishi huyo...
 
Mchana imefika vipi kahepa au imekula kwake? Jamani tupeane taarifa kwa wale walio karibu na pilato
 
Aliyekuwa kamishna msaidizi wa polisi anyongwe tu inanuma kuwaua watu bila kosa tena ndugu hafai kuishi huyo...

MCHUCHU ungekuwa hakimu ungetawaliwa na jaziba kwenye maamuzi yako! ngoja tuone sheria itafanya nini!
 
huyu jamaa akichomoa leo waandishi watamkoma!. lazima atoe kiroja cha bangi kama kawaida yake.
 
Jaji ni mwamuzi wa mwisho, utawala wa sheria na katiba, chini ya hukumu ya kamati ya maadili ya CCM na DPP wa ikulu, chini ya mwanasheria mkuu Johnson Mwanyika-Richmonduli.

Je kibaya ni hukumu, jaji au mawakili, mashahidi au system???? Mbona imani haba kunani, kwanini tusifuze wote tuanze upya na tunao waamini?
 
Invisible kama una nyuzi nyingine naomba utumwagie plz!
Tujue huyo gaidi wa bongo ataelekea wapi kifoni au uraiani?!
 
Hivi huyu mtu kama akiachiwa huru atarudishwa tena kazini au ndio basi tena?!Na si atakuwa anadai fidia yake ya kipindi chote cha kesi yake ilivyokuwa inaendelea?
 
Hivi huyu mtu kama akiachiwa huru atarudishwa tena kazini au ndio basi tena?!Na si atakuwa anadai fidia yake ya kipindi chote cha kesi yake ilivyokuwa inaendelea?

mpaka sasa ni MTUHUMIWA tu, na kazi bado hajafutwa hivyo anakula nusu mshahara kama kawaida, means akiwa huru mafao yake yote anavuta!.
 
nimlazimika kumtuma ''ripota wa akiba'',ndio anaingia kisutu sasa

mkuu ni high court kule karibu na ferry!.
icon10.gif
 
Je Chiluba imekuwaje? au naye ana Jaji kutoka Dar? Hukumu za ikulu? Tuombe haki itendeke kwa wote kusiwe na ushabiki wala Jazba. Sheria itumike vilivyo,na mwenye hatia au asiye .
 
Mi nasubiri tu Mkuu invisible.
Ninalosubiri ni kuona kama katili Zombe ana save, kisha nikampe injili ya toba kwa uovu aliotenda maana anaweza kushinda duniani lakini kwa Mungu je?
 
Back
Top Bottom