MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Jamani bado tu updates? mchana si ndio huu au?
Imeshaanza kusomwa wakuu. Inasomwa kwa kiingereza lakini kuna mkalimani na yeye anafanya vitu vyakeHukuma ishaanza kusomwa? Hakuna mtu aliyekaribu na High Court?
kama kila mtu akiwa na mawazo kama yako basi tanzania itabaki the same. mimi nina mawazo tofauti kwamba tanzania haiwezi kubaki the same. Tena itabadilika kwa haraka. vugu vugu ndo tumeanza. Ni kwambie kitu tena, hizi sekondari za kata zitatoa wazazi wenye mwanga kidogo ya haki yao lakini maskini wasioweza kupata kazi.Walimu wao ndo hao vijana wa kidato cha sita na tena kila siku mishahara wananyimwa ndo watawafumbua macho. NIMETABIRI.Tanzania will be the same there will be no difference whether they are going to implicate him with those charges after all it is the whole corrupt system that need to be changed. Every person can be fisadi at his/her own levels think about it and then be ashamed of yourselves. We are talking about levels and degrees of ufisadis here. Zombe, R.A et al are just representatives of it or some vivid examples. There are incognitos who uses them. Remember everyone works for someone or even your conscience and instincts.
Hukum a ishaanza kusomwa? Hakuna mtu aliyekaribu na High Court?
Bado wanasoma ushahidi wa mashahidi ....
Check ur spelling buddy!
Sayonara Shy-sanSayonara limbani
Ipo thread ya hukumu ya Zombe utapata yote yanayojiri
Statement ya Rashid Lema ishatupiliwa mbali, haina maana tena...Jmani vipi huko mahakama kuu?
Statement ya Rashid Lema ishatupiliwa mbali, haina maana tena...
Jaji Salum Massati anaendelea kutoa maelezo