Zombe huyo nje na wenzake!!!!. Wote wametolewa kwa mlango wa nyuma kwa magari mawili ya polisi landcriser p/up wakiwa wanashangilia kama mashabiki wa mpira waliopanda p/up. Huku magari matatu ya polisi na silaha kali wakiwalinda. Kote kulikuwa kumemwagwa askari kanzu nje na ndani, magari ya FFU na gari la maji washawasha!!!Kwa mtizamo wa kiundani huo tangu asubuhi ule ulinzi ualiashiria mamamuzi ya kuwachukiza wananchi.
Wenye vyombo vya habari jiandaeni kwa kesi za fidia, serikali jiandae kwa fidia!!!
Je sasa, ni nani aliwaua wale wazalendo?? Je ni mtu mmoja Saadat aliweza kuwabeba wote na kuwapeleka pande bila msaada na kuwalipua??? Jamani sijaelewa hizi mnazosema sheria!!! Ila kuna jambo, subirini na yule mzee Mahenge atajibu, tena kwa kishindo, aliapa!!!!! Msiniulize atajibu kivipi, ila atajibu.
Kaka umenigusa sana zombe ni fisadi aliyeua watu very directly akina mramba , rostam ,el , jkm, karamagi na wenzao wanatuua watanzania polepole so mi nafikiri zombe ahukumiwe kunyongwa instantly na hao mafisadi wengine tuwakamate tuwaue taratibu leo unakata mguu wa kulia a month later wa kushoto unasubiri miezi miwili unakata mkono naamini kwa stahili hii tanzania itanyooka tu.
Kwa jinsi ninavyomjua yule mvimba macho hakiyanani waandishi kaeni chonjo hasa wale waliomuhukumu kabla, hana masihara eti yule!!!, acha hiyo fidia lkn mkono wake pia atautumia kisawasawa, yaani ni kama kumuona osama ameingia ofisini kwako
Haki inadaiwa kivyoyote wewe, hata kumuua jaji Masati....kumbuka watu wamepoteza ndugu zao kwa ulafi wa Zombe, na ni dhahiri bado tunaletewa za kuleta. Acha woga, mafisadi hawana msalie mtume.
Its another OJ SIMPSON trial.Zombe kaachiwa rasmi!
Case closed
Aliyeua alishatoroshwa, itakuwa ni kurudia kosa kuwahukumu kifo watu ambao hawakuuaKwa maana hiyo wale wafanyabiashara wa madini walijiuwa wenyewe! Si shangai wananchi wanapoamua kuuwa vibaka mtaani, bado kidogo wataanza shughulikia fisadi.
Na watu wake!Mkuu Naminyo, daima sheria huwa tunataka ichukue mkondo wake, na hali ndivyo ilivyokuwa.
Tarajia hali kama hii hii kwenye kesi za EPA n.k.
Inafurahisha sana, Mungu ibariki Tanzania
Naamini kulikuwa na mapungufu upande wa mashtaka otherwise Masati huwa ni very strict and systematic judge. AG anatakiwa akate rufaa au wadakwe wafunguliwe mashtaka upya.